Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,095
- 2,429
Nakumbuka sana miaka hiyo akina baba waliitisha kikao na kuunda kamati ya mapokezi kwenda Kumpokea pale Uwanja wa ndege. Ndugu wote walikuja dar nyumban kwetu kulijaa sana na pia nyumban kwa bamdogo Ubungo.
Hatimaye mida mida tukawa eapoti miaka hiyo hakukuwa na folen sana. Kulikuwa na gari mbili zote za mzee Mwakibete.datsun na 504 aka guruwe.
Aisee... Baada ya siku kama 5 tukaenda kukaa kwa bamdogo.tulikuwa tunafurah namna ambavyo mtu akikosea anatukana kizungu.. Maneno kama salama beach, maza fanta,shiti, ndo tulijufunza huko.
Eksichuzi mi,senkyu na komoni hia. Wadau mnaweza ongezea maneno mengine ya zamani sana ya kiingereza uliyojifunza na matamshi yake