Mandela rd:taa za trafiki zitawashwa lini?

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Ni muda mrefu sana tangu zifungwe, barabara ilishapokelewa lakini cha ajabu hadi leo taa bado hazijwashwa. Kuna tatizo gani au zitawashwa wakati wakati wa uchaguzi wa CCM mwakani?
 
Back
Top Bottom