Manchester Utd vs Arsenal UEFA Champions 09

BJ, Naona leo umeama timu shauri yake manake tunaelekea Roma!!

Dizaini fulani unataka mshinde ila unasema timu nyingine inashinda kupunguza presha...
Shadow,leo tunataka ushindi siyo majeruhi jamani!!!
 
Dizaini fulani unataka mshinde ila unasema timu nyingine inashinda kupunguza presha...
Shadow,leo tunataka ushindi siyo majeruhi jamani!!!

BJ, Uliona salamu tulizotuma Jmosi kwa mtafuna Big G. Yani, ngoja niweke pop corn kwenye microwave kabisaaa tayari kwa kuserebuka manake manake Imarati hatoki mtu.
 
Exaud!
Inawezekana 'mcheza kwao hutunzwa'..tutapata uhakika baada ya mechi
Wewe uko upande gani leo hii?

BELINDA,
Mimi sina upande.
Nahitaji mwana-JF atakayenishawishi niwe upande wake.
Mimi nataka upande utakao shinda ili nisikose usingizi leo.
 
BELINDA,
Mimi sina upande.
Nahitaji mwana-JF atakayenishawishi niwe upande wake.
Mimi nataka upande utakao shinda ili nisikose usingizi leo.

Hapo pagumu basi kuwa mwangaliaji tu asiye na upande ila upate burudani kwa kuangali hii mechi katika muda mfupi ujao.
Au toss a coin,litakalokuwa na liwe au siyo!.Ukishindwa kulala leo, kesho lazima utaamka tu na maisha yaendelee.
 
BELINDA,
Mimi sina upande.
Nahitaji mwana-JF atakayenishawishi niwe upande wake.
Mimi nataka upande utakao shinda ili nisikose usingizi leo.

Kama unataka kushawishika kaa chini tizama soka mechi ikiisha nina uhakika utakuwa umeshawishika na timu itakayokuwa imecheza soka nzuri na ya uhakika.
 
Kama unataka kushawishika kaa chini tizama soka mechi ikiisha nina uhakika utakuwa umeshawishika na timu itakayokuwa imecheza soka nzuri na ya uhakika.

...:D yaani nyie mnajiuma uma tu kumwambia ukweli, mtajieni tu;

ARSENAL!
 
Kama unataka kushawishika kaa chini tizama soka mechi ikiisha nina uhakika utakuwa umeshawishika na timu itakayokuwa imecheza soka nzuri na ya uhakika.

ICADON,
Hapa unanifanya nisiangalie mechi kabisa.
Kumbe mashabiki wote hutamba kwa kubahatisha?
 
MANU matumbo yao yanachemka na wana wasiwasi wa hali ya juu. Wanainama wanainuka wanaona haya haoooooooo ha ha ha ha 2-0 :)
 
ICADON,
Hapa unanifanya nisiangalie mechi kabisa.
Kumbe mashabiki wote hutamba kwa kubahatisha?

Utakuwa hujamsoma vizuri Icadon. Huwa kuna thread mbalimbali kama Arsenal,Liverpool,Man Utd na Chelsea na ndani yake kuna washabiki wake wa kila mara yaani siyo tu mechi kama ya leo.
Ila kwa kuwa wewe ndo unaonekana unataka kuanza ushabiki leo ndo mana kakwambia hivyo..
Vinginevyo shangilia Man Utd, utafurahi!!!
 
Back
Top Bottom