Aaah ni kwa mara nyingine tena tunaenda kushuhudia vijana hawa barobaro wakienda kutupa burudani ile tamu.

Jirani atalia sana leo

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha

My prediction

Manchester City 2 VS Manchester United 3

GGMU
1709476348963.jpg
 
Kama Luton anatupigia mpira vile leo sijui itakuwajee maana sio nusu uwanja bali watakua wanacheza kwenye 18 yetu dakika 90, labda kama wachezaji waamue kutulindia heshima leo.

Mechi naangalizia online ili nikifungwa nisipate kero kama nikiwa vibanda umiza.
 
Mechi ngumu sana, kwa man u na city. Lately tumekuwa tukitengeneza nafasi za magoli, uchoyo,ubinafsi na umaliziaji mbaya ukawa unatuhukumu, tukivifanyia kazi hivyo, city anakufa mapema watu tuna pack bus maana uwezo wa kuchezea mpira hatuna.

My bet:
First team to score: man u🔥🔥🔥
Umeandika kwa hisia sana😂
 
Back
Top Bottom