Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Siku hiyo tukiamka vibaya tunarudia 4, tukiamka vizuri sio chini ya 6
Chelsea lazima ale 4 tena tukikutana
Chelsea lazima ale 4 tena tukikutana
Huyu dogo ni mweupe sana..hakuna analoweza..Rubbish kabisaHivi sosha anampendea nn perreira ni takataka hakuna mchezaji pale
Man u kwa sasa haina winger, tuna wide strikers.Hili holi ndiyo linakumbusha MUFC style. Winger zinakimbiza pembeni na kutoa cross za pasi ya mwisho. Hii style OGS haitumii sana. Nafikiri ni kutokana na kukosa winger zinazokimbia kama Nani, Valencia, Beckham au Ronaldo.
Endelea kukariri
Ongezea Sancho hapo.
Unakuwa na Rashford, Martial, Sancho na Greenwood
Ndio atakayewaua july 18Bruno ni moja ya sajili bora sana baada ya ile CR7.
Sioni tatizo..aondoke aende anakohisi atapata game timeNasikia Angel Gomez kagoma kusaini mkataba mpya
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Atapigwa leo mbili nunge atulieHatari Sana Naona timu ipo on fire Leicester asipokaa sawa nafasi ya Tatu yetu.
Mariam Biriani una kibri sana, manchester utd msimu huu kakufunga mechi 3 ila bado hutaki kutuheshimuNyumbu bana View attachment 1493997
To be frank, Chelsea kuwashika bado kama kazi ila Leicester wanaweza toka top 4Hatari Sana Naona timu ipo on fire Leicester asipokaa sawa nafasi ya Tatu yetu.
No wanatokaTo be frank, Chelsea kuwashika bado kama kazi ila Leicester wanaweza toka top 4