Old trafford walikuwepo mbona tuliwapakata..Mourinho hapo Spurs Levy atamtimua kama mbwa koko ni swala la muda tu
Mourinho siyo kama Ole anayehitaji kujengat timu kwa miaka kumi, Mounrinho ni kocha wa mtoano, mpe wachezaji anaowahitaji katika mfumo wake, misimu miwili ikipita bila kombe itakuwa ameshindwa kazi, na akichukua makombe huondoka pia
 
Kuna siku huwa anakiwasha hatari, wakati wa Mourinho Lingard alicheza soka moja matata sana, sijui ni nini kimemkumba kwa sasa. Hata ile dancing style yake nadhani imesahaulika.
Bora ungemtaja huyo huyo Moura lkn co chizi Dele Ali, ni type ya lingard yule, hana lolote he's just an overated player.
 
Mourinho siyo kama Ole anayehitaji kujengat timu kwa miaka kumi, Mounrinho ni kocha wa mtoano, mpe wachezaji anaowahitaji katika mfumo wake, misimu miwili ikipita bila kombe itakuwa ameshindwa kazi, na akichukua makombe huondoka pia
Haha sasa hizi hoja ndiyo majibu ya kwanini ameshindwa kumfunga OGS au ni kujibaraguza tu.
 
Kuna siku huwa anakiwasha hatari, wakati wa Mourinho Lingard alicheza soka moja matata sana, sijui ni nini kimemkumba kwa sasa. Hata ile dancing style yake nadhani imesahaulika.
Wote hao currently wamekuwa squad player tu.

Dele Alli msimu wa pili sasa hana consistency appearance kwenye kikosi.

Lucas Moura huwa anacheza tu pale anapokosekana Son au Harry Kane na sasa kaja Bergwijn.

Kimsingi tulicheza na Spurs iliyokamilika kwa kila kitu na tulichokifanya ni kuwawafanya waonekane underdogs..
 
Siyo kweli, msikilize Mourinho alichokisema baada ya game
 
Kuna siku huwa anakiwasha hatari, wakati wa Mourinho Lingard alicheza soka moja matata sana, sijui ni nini kimemkumba kwa sasa. Hata ile dancing style yake nadhani imesahaulika.
Ni mchezaji wa daraja la Aston Villa, Brighton au West Bromwich, but co kwa tm km utd, huyo jamaa hata wolves hachezi believe me.
 
De Gea is declining slowly
IMG_20200623_213718.jpg
 
Ni Matchday..Hawa blades inabidi tuwauwe..Spurs kashinda jana,na Chelsea ana big match kesho

First eleven kama hii itakuwa poa kwangu leo..

Romero

AWB Bailly Maguire Williams

Fernandes Matic/Scot Pogba

Greenwood Ighalo Rashford

✓Kuna kitu ambacho Matic anacho lakini Fred na Scott hawana,kitu hicho ni composure

✓Kuna kitu Fred na Scott wanacho lakini Matic hana kwa sasa,kitu hicho ni miguu ya kucover ile mid

Tunahitaji deep Mid mwenye vitu vyote viwili ili Pogba na Fernandes wateleze tu

GGMU
 
Back
Top Bottom