Mtani katika ubora wake nasikia baada ya kumkosa Pedro sasa tunahamishia nguvu zote kwa Mane

Mtani usajili wa Pedro tu ndo umewafanya mje mjae hivi? Mane tu Mbona hadi Balloteli hujasikia?..........halafu Mbona tushatoa tamko hatusajili tena.....lol
 
Mimi binafsi swala la Pedro halijaniuma kabisaaaaaa ingawaje ningesmile kama angekuja.........tabiri tabiri tabiri tabiri tabiriiiiiii......................say no to ramli chonganishi.

Bora tuvunje kabati kwa mchezaji kama Muller, Lewandowsky etc.
BTW, is Pedro a striker?
 
Hiki ni kipindi cha usajili barani Ulaya,Asia,Marekani na Africa na pengine kila kona ambako soka linachezwa.Furaha kubwa kwa mashabiki wa soka huwa ni kusikia klabu yao imesajili mchezaji mpya ama yule wanayemchukia akitimka zake na kujiunga na klabu jinjine lakini linapokuja swala la klabu yao waipenda kutangaza kuwa imeeachana na mpango/imeshuindwa kumsajili nyota waliyekuwa na matumaini nae habari huwa ni tofauti sana.
Ifuatayo ni orodha ndefu ya nyota ambao bosi wa Man United bwana Ed Woodward alijaribu kutaka kuwasajili lakini mwisho wa siku akaiishiwa kuambulia maumivu ndani ya moyo wake baada ya ama kuzidiwa kete na vilabu vingine ama kushindwa kutoa pesa ya kutosha kuwashawishi nyota hao pamoja na vilabu vyao
Leighton Baines (Summer 2013)
Gareth Bale (Summer 2013)
Cesc Fabregas (Summer 2013)
Thiago Alcantara (Summer 2013)
Mats Hummels (Summer 2014)
Toni Kroos (Summer 2014)
Nicolas Otamendi (Summer 2015)
Sergio Ramos (Summer 2015)

LETS ALL LAUGH AT MAN U:D:D:D

Umesawasahau benteke, cr7, firmino, clyne, cech, sterling, de rossi, sanchez, ozil, Wengine nitakusaidia kumalizia kesho a a a a a a a a a a a a a , maana United inausishwaga nakila player asa kwanyie wasomaji wazuri wa magazeti ya championi, dimba, mwanaspoti na goal. Com
 
HAHAHAHAHAHAHAHA!!!!!!!!!!!!!

Saido Mane #MUFC
View attachment 278300

Kuna tetesi zisizothibitishwa kuwa Valdes alimshauri Pedro asijiunge na Manchester United. Hahahahaha Valdes bado yupo katika payrolls za Manchester United afu anawaunguzia picha mabosi wake. Kuna kitu kinachoendelea nyuma ya pazia la Manchester United, tusubiri tuone litakalotokea.
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa.....
 
Attachments

  • 1440043221720.jpg
    1440043221720.jpg
    46.3 KB · Views: 159
Mtani usajili wa Pedro tu ndo umewafanya mje mjae hivi? Mane tu Mbona hadi Balloteli hujasikia?..........halafu Mbona tushatoa tamko hatusajili tena.....lol

Sio hamsajili tena mlitaka sana kusajili sema vigezo na masharti viliwashinda nyinyi mmepokonywa tonge mdomoni sema Du inaumaa
 
Sio hamsajili tena mlitaka sana kusajili sema vigezo na masharti viliwashinda nyinyi mmepokonywa tonge mdomoni sema Du inaumaa

Eeeh aiseee!!!! tuambie wewe mwana wa Wenger vigezo na masharti gani yalitushinda?
 
Eeeh aiseee!!!! tuambie wewe mwana wa Wenger vigezo na masharti gani yalitushinda?

United claim they had the option of signing Pedro earlier in the window but, after long consideration, manager Louis van Gaal decided to end their pursuit of the player.

Balague earlier reported that-Pedro had agreed personal terms with United-and that the 28-year-old was just waiting for the clubs to agree on a transfer fee.
United's chief executive Ed Woodward is understood to have visited Barcelona for talks but it is believed the European champions would not budge from the release clause, which was never met by United.
 
Source ??????
 
Back
Top Bottom