Kinachoniuma si kwamba sisi hatutakuwa mabingwaa, la hasha!, ila ni vile tumefungwa na Chelsea whom they are far from better when it comes to comparison with us!

Nani atolewe kafara!, SAF!!, no doubt about that coz poor tactics zimetu-costs, how can u dare to put Ronaldo on the bench ktk crucial game kama hiyo?

How can u dare to substitute ANDERSON badala ya kumtoa GIGGS, unajua nilipoona anafanya ile sub. ilibidi niende msalani kidogo manake nilihisi haja ngodo imenibana!!, poorest sub ambayo SAF kafanya this season!

Roya,
....waache wachonge tu hao that their time kuongea, nakwambia by next weekend tutakuwa mimi tu na mashetani wenzetu tukilonga kwa lugha ileeee ya kwetu!

Its NOT OVER TILL ITS OVER!!

ONE LOVE....ONE UNITED!!
 
Kumbe huku JF kuna bluz..... karibuni na hongereni kwa ushindi wa j1.
Anyway, hii italeta ladha zaidi kwenye ligi... bingwa ni Man ila hadi mechi ya mwisho!

Hahaha...yaani Roya Roy ulikua hujui tumo?
Hii thread nimekua naifuatilia kwa uoga mpaka
juzi nilipoona mambo yaweza yakawa.

Shukrani kutukaribisha na sasa tumo basi!
 
Hahaha...yaani Roya Roy ulikua hujui tumo?
Hii thread nimekua naifuatilia kwa uoga mpaka
juzi nilipoona mambo yaweza yakawa.

Shukrani kutukaribisha na sasa tumo basi!

Pole sana ndugu yangu. Ni wengi sana mashabiki wa jamii yako!
Wenzako, timu ikifanya vibaya huwa hatuitoroki, tunabanana humo humo! huu ndio uzalendo na upenzi/ushabiki. Kwa mfano hata sasa ikitokea Chelsea wakachukua kombe, hatutahama Man U, tutabanana humu humu!
Afadhali umeweka wazi suala lako, najua utakuwa umejifunza sasa.
Karibu sana!
 
Halafu Wakuu Idimi&Manda huyu Ab-Titchaz (+wenzake) asije akaingia mitini kama tutapita kwa Baca leo.....nahisi na wao wanaweza kupita kwa bwawa la maini.
Tukikutana fainali ya UEFA itakua perfect revenge!
 
MKuu Roya Roy,
Kwi kwi kwi!
Nina uhakika Liverpool watapita tutakutana nao fainali kule Moskva (Moscow) Urusi tarehe 21 Mei iwapo tutawafunga Barca! Ukiangalia hata mwaka jana tu, bwawa la maini waliwatoa Chelsea kwenye kombe hili hili katika hatua ya nusu fainali, na bado kama haitoshi hawa vijana wa Grants hawana uzoefu wa kutosha katika kombe hili.
Huyu AB Titchaz najua atatoroka na kuingia mitini tu iwapo watakosa nusu fainali, kama unavyosema. Ndio sababu hapo juu nikamwambia kwamba sisi wenzake huwa tunabanana hapa hapa hata kama tunafungwa, hatuhami ushabiki ama kuingia mitini.
Si unakumbuka kipigo cha mwaka jana kwa AC Milan?
Hatukutoroka wala kujificha, tulivumilia madongo kutoka kwa watani.
Na leo ndio 'fainali' halisi ya championship!
 
Mkuu Idimi,
Ni kwa kuangalia bwawa la maini wana nafasi kubwa ya kuendelea, ila as my personal wish napenda Man U wakutane na Bluz kule Moscow!
Najua wengi wataingia mitini, likitokea hili!
 
IDIMI, Roya na kwa Mashetani wote!!Nafurahi kusikia kuna watu walianza kukimbia lakini sasa wameshaanza kurudi, najua hao ni Ze Gunaz ammbao wamekuja kutia fitna (zinakubalika pia), lakini let me tell u one thing kuwa ''it's not over till it's over, karibuni sanaaa!, na am telling you that we will PROVE YOU WRONG BY WINNING UGLY!!

Sisi ndo RED DEVILS, hatuna kawaida ya ''kukimbia'' na kuzima simu tukifungwa, waleteeee hao!!

One Love....One United!!
 
Say whaaaa whaaaa whaaat now....a stunning goal from Paul Scholes gave Manchester United a 1-0 win over Barcelona to set up an all-English Champions League final against either Liverpool or Chelsea in Moscow....
 
Halafu Wakuu Idimi&Manda huyu Ab-Titchaz (+wenzake) asije akaingia mitini kama tutapita kwa Baca leo.....nahisi na wao wanaweza kupita kwa bwawa la maini.
Tukikutana fainali ya UEFA itakua perfect revenge!

Roya Roy,

Hatukimbii aisee...tumo!
I watched the Man vs Barca game na utani kando Man U
waliwaharakisha jamaa poa kabisa.They deserved the victory.
Sasa sindimba iko Moscow....Kudos Man U!!!!
 
Pole sana ndugu yangu. Ni wengi sana mashabiki wa jamii yako!
Wenzako, timu ikifanya vibaya huwa hatuitoroki, tunabanana humo humo! huu ndio uzalendo na upenzi/ushabiki. Kwa mfano hata sasa ikitokea Chelsea wakachukua kombe, hatutahama Man U, tutabanana humu humu!
Afadhali umeweka wazi suala lako, najua utakuwa umejifunza sasa.
Karibu sana!

IDIMI,

Sio kwamba natoroka..la!
Nilikua nadhani thread ni exclusive for Man U fans only.
Kisha hongera kwao jana maana wamewapeleka Barca shule
without a doubt!

The Premier cup is up for grabs and we are waiting for
the final games...its going down to the wire!

Asanteni kwa kunikaribisha hata hivyo!
 
Hakuna shaka mkuu,tupo pamoja. Sisi wote ni JF na huwa tunatembeleana sana, lijue hilo. Hata mie pia huwa nawapitia sana watani zangu wa Arsenal pale jamvini kwao kwa utani, pongezi na madongo ya hapa na pale, ili mradi tu tunakuwa pamoja kuijenga JF kama wao wanavyofanya hapa kwetu.
Uwe huru tu mtu wetu.
Nikushukuru kwa pongezi zako, niwatakie nanyi Chelsea na Liverpool mchezo mwema leo jioni, najua mmoja wenu lazima nikutane nae Moskva.
Kila la kheri!
 
........Kwamba katika fainali hizi za UEFA Champions League zinakutana timu za kutoka nchi moja? Timu tatu za nusu fainali kutoka nchi moja tu!
Amazing!
 
Roya Roy,

Hatukimbii aisee...tumo!
I watched the Man vs Barca game na utani kando Man U
waliwaharakisha jamaa poa kabisa.They deserved the victory.
Sasa sindimba iko Moscow....Kudos Man U!!!!

Kun tofauti kubwa kati ya ''mpenzi'' wa mpira na ''mshabiki'' wa mpira, big up sana coz' ww ni ''mpenzi'' wa mpira....yes i said!!, its not over untill its over!!
Ab-Titchaz na wenzako karibuni sana Moscow kuona kandanda safi, ila kuna kitu kinanifurahisha.....I heard Ze Gunaz are still talking kuwa bado wananafasi ya kuwa mabingwa wa the premiership!..nani kawadanganya?

One Love.....One United!!
 
Ahsante, unajua weekend nilikuwa down kiaina baada ya kichapo cha Stamford Bridge...Mungu si Athumani watu tunakwenda Moscow.

Mkuu..acha kuniangusha, Shetani wa ''ukweli'' hawi down kirahisi hivyo ati!, ila anachukulia kama changamoto ya ku-come back kwa nguvu na ari mpya.....unajua wale wenzetu waupande wa ''pili'' ndio wanatabia hiyo, hawakawii kuingia mitini hata wakitoa droo tu!!

Much respect kwa IDIMI&ROYA wanazi wa ukweli!!
 
Asante Mkuu, na kwako pia kwa mchango wako wa mawazo.

Long Live Man United.
 
Back
Top Bottom