The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 38,244
- 83,816
Kweli kabisa kila mechi ni fainali.kinachoendelea old Trafford Leo dah
niliwahi kusema ,,timu inayocheza Vs manutd huwa zinacheza vizuri mpaka basi kuliko manutd yetu.
Kweli kabisa kila mechi ni fainali.kinachoendelea old Trafford Leo dah
niliwahi kusema ,,timu inayocheza Vs manutd huwa zinacheza vizuri mpaka basi kuliko manutd yetu.
Hamia kwetu the Gunners mkuu.nafikiria kuchukua likizo ya kutokuangalia mechi za manchester united
Pogba hana tatizo lolote ila tatizo hapo ni kochaPogba si holding mid hata siku moja.
MtakomaaaaaaNaona Leicester wanakabia juu kabisa hii inafanya mabeki wetu kufanya makosa mengi sana, naona dalili zote za kupoteza tena game
Acha kuwapa panikisha manyumbu wawekee 2:2