JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,019
- 1,665
Kisa..nini..mkuu..?kuna tetesi mbaya zinasambaa kuwa de gea hatacheza mechi ya leo
Kisa..nini..mkuu..?kuna tetesi mbaya zinasambaa kuwa de gea hatacheza mechi ya leo
Niliona mark odgen na samuel wame twitt kwamba sam johstone na romero ndio waliokuwepo kwenye dressing room na kwenye pre match warm up walikuwepo wao de gea hakuwepoKisa..nini..mkuu..?
Morinho anampenda halafu anamin kunasiku atarudi katika kiwango chake cha zamanhuyu rooney huyu khaaaa
Mhhh hata aibu huoniiiiGame ngumu...jamaa wameamua kupaki bus.
ni kwel kabisaMechi hii inawafaa sana Mkhitaryan na Young kuwepo