verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,837
- 5,753
Tarehe 12 Mei 2024
Tukutane kwenye show za Declan Rice na Bukayo Saka
Tukutane kwenye show za Declan Rice na Bukayo Saka
Ninachojua ni kwamba zile bao 8 haziwezi rudiMkija Kama mlivoingia na crystal palace. Hatutaki lawamaView attachment 2984706
Ndio maana nyumbu wanakuhisi wewe Ni arsenal fanNyumbu Fc wenzangu tunakumbushana tu wala sio kwa nia mbaya, wakati sisi tukiendelea kubweka humu na Baba Ubaya kina Sancho na Sabitzer wao wanaenda kucheza fainali ya Uefa Champions League View attachment 2984715
Washamshtukia huyu 😄😄Ndio maana nyumbu wanakuhisi wewe Ni arsenal fan
Huyo ni gunners undercover agent "muda mwingi yupo Kule the gunners kuliko huku"Washamshtukia huyu
Kweli leo nimeamini ule msemo wa akutukanae hakuchagulii tusi, Yaani mimi huyo nikashabikie Mirembe Fc kweli?Ndio maana nyumbu wanakuhisi wewe Ni arsenal fan
Mkuu baada ya misimu miwili tunanyakua uefa na hapo nyumbuz wote wataujua ukweliKweli leo nimeamini ule msemo wa akutukanae hakuchagulii tusi, Yaani mimi huyo nikashabikie Mirembe Fc kweli?
Over my dead body (in Manara voice) mkorea nakupa siku 3 ya kuitisha press conference na kukana hio kauli yako la sivyo kesi yako utaenda kuijibu The Heague
Yaani timu tokea kuumbwa mbingu na nchi haijawahi kubeba kombe lolote la Ulaya? nikikosa timu si bora hata nishabikie Westham walau wao wana kombe la Europa.
Mtu yoyote akinionesha mchezaji hata mmoja wa Arsenyo ameshika tu kombe lolote la Ulaya mimi nitamuonesha Paka mwenye vichwa vitatu.
Mnaona kama utani ila jumapili arsenal mnaweza pata maumivu makali ambayo hamjawah kupata na zaid pengine hio mechi hamtokamuisahau maishani...ngoja niishie hapa!Kama ilivyotangazwa na ndugu mkorea ule mchango wa alama tatu kwa The Arsenal utaendelea, na jumapili hii ni zamu ya manjesta kutoa kama walivyoahidi
Asanteni.View attachment 2985392
Bayern Wanafelishwa sana na Uongozi Kama ilivyo tu kwa UTD.nilidhani matapeli wapo manchester united pekee kumbe hata bayern munich kuna viongozi na wachezaji matapeli, tofauti yao na sisi kwa upande wa wachezaji ipo kiteknikali zaidi.
Gnabri, choupo moting, muller, sane, goretzka, coman, dier, upamecano wote hao kwa mtazamo wangu
hawastahili kuendelea kuwa wachezaji wa kikosi cha kwanza.
kwa kulifahamu hilo huenda walimuhitaji ralf rangnick si kwa sababu ya CV yake ya ukocha bali ni kwa uwezo wake wa kujenga timu. Nafikri kumkosa ralf rangnick ni pigo kubwa kwao nyuma ya pazia.
Sijui Arsenal walipatwa na changamoto gani mpaka wakashindwa kuwatoa bayern.
Lakini ndio mpira.
Umeandika kwa hisia sana, ila 5 zinakuhusu!Mnaona kama utani ila jumapili arsenal mnaweza pata maumivu makali ambayo hamjawah kupata na zaid pengine hio mechi hamtokamuisahau maishani...ngoja niishie hapa!
nyie bado mna zaidi ya miaka 40 ya kusota jangwani, kamwe nyie mmesharamishiwa kuingia nchi ya ahadi, hiki kizazi chote cha kina Masingeli kitaishia kubeba tu misinia ya maharage na vibakuli vya Emirates, Makombe ya maana labda watakuja kubeba wajukuu au vitukuu vya kina Masingeli.Mkuu baada ya misimu miwili tunanyakua uefa na hapo nyumbuz wote wataujua ukweli
Hili bakuli la kuchangia Jambo la arsenal, nyumbuz wamesema hawana kinyongo. Watatupa ushirikiano woteKama ilivyotangazwa na ndugu mkorea ule mchango wa alama tatu kwa The Arsenal utaendelea, na jumapili hii ni zamu ya manjesta kutoa kama walivyoahidi
Asanteni.View attachment 2985392