Mamtu mengine bwanaa! Sijui ni vituko! Ama nini ! Mimi sina jibu sahihi .

Ha,ha,ha,ha,ha,ha..teh,teh,te,te,te,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,..uwii baba Beibe nastry leo umenimaliza mbavu jamani dah

Wacha mbavu! Haziumii vizuri coz ziko nyingi about 14 Ribs !
Ngoja kesho nikumalizie na Kiuno kabisa! Na kwakua kipo kimoja !
Sijui kitakuaje! Na pia hakifungiki P.o.p !
 
Last edited by a moderator:
Wacha mbavu! Haziumii vizuri coz ziko nyingi about 14 Ribs !
Ngoja kesho nikumalizie na Kiuno kabisa! Na kwakua kipo kimoja !
Sijui kitakuaje! Na pia hakifungiki P.o.p !
Mkuu judgement, mi huyu kaniacha hoi kumtaja Beibe nasty kuwa anamvunja mbavu wakati sijamuona kwenye huu uzi!
 
Mkuu judgement, mi huyu kaniacha hoi kumtaja Beibe nasty kuwa anamvunja mbavu wakati sijamuona kwenye huu uzi!

Naona kama mmeshatoshelezana majibu hivi !
Kama bado niseme tu destiny is not a matter of chance!
It's a matter of choice !!
It's not a thing to be waited for !
It's a thin' to be achieve!
 
mijitu mingine bwana, inaanzisha maadamano, wengine wanapigwa risasi wanakufa, yenyewe bado yanabaki hai tu! Mi nna ham na hao waanzisha maandamano nao wafumuliwe na risasi!!

peleka kul siasani mkuu rejao. Mzima lakin?
 
ruttashobolwa, hiyo tabia ilikuwa kwenye boarding schools zote. Yaani mnaweza kumuona mtu anakimbia afu woote mkaanza kukimbia! Sijui ilikua ni nini! Them good old days!
 
Last edited by a moderator:
We acha tu, ilikuwa purukushani ile mbaya! Yan jamaa alifanya watu wakapandwa presha watu wote tuna kimbia bila kujua tuna kimbia nini!

ruttashobolwa, hiyo tabia ilikuwa kwenye boarding schools zote. Yaani mnaweza kumuona mtu anakimbia afu woote mkaanza kukimbia! Sijui ilikua ni nini! Them good old days!
 
Last edited by a moderator:
Usiku tukiwa bwenini tume lala, mida ya saa 8 usiku tulistushwa na kishindo mithili ya tetemeko ya ardhi ndani ya bweni baada ya kuamka tukiwa tumejawa na hofu kubwa huku umeme umekatika, baada ya kuamka uku wengine wakiwa wamesha kimbia nje wakiwa na boxer tu,tuligundua kuna mtu kaanguka kutoka juu ya deka(alikuwa best yangu) ilibidi kuanza kumuangali huku roho zikienda mbio kwa uwoga wa hali ya juu.

Baada ya kumuangalia na kuanza kumgusa tu alichomoka pale chini misili ya mshale na kukimbia nje, kazi ilikuwa kwetu tuliyo baki ndani watu kama 60 kwa hiyo tulianza kugombea mlango ambao ulikuwa mmoja huku tukikanyagana kutoka nje, cha kushangaza na pale nje wote walikimbia kuelekea kwenye uwanja ikawa kurupusha huku tukiwa na boxer wote tulizani kuna mzimu.


Cha kushangaza baada ya kumhoji best huku wengine wakiwa wamevunjika mikono alisema ana tushangaa tunakimbia nini wakati yeye alikuwa ana tania!


Wote tuliishiwa nguvu na wengine wakitaka kumpiga kwa kuwa dharirisha na shule ilikuwa mchanganyiko wanaume tuko na boxer tu!


Cha kusikitisha baada ya kutaka kufukuzwa shule jamaa yangu aligundulika amechanganyikiwa na akafikia kufungwa kamba kwa hiyo hakufanya mtihani akapelekwa hospitali.

:biggrin1::biggrin1: wabongo kwa uoga hatujambo
 
Back
Top Bottom