Mamsap ananitia mashaka.

Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.
Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.

POLE SANA... Hapo juu nilipo weka Bold ni kwamba;
1. HIzo hasira inategemea ni wakati gani; saa zingine wakati mwanamke yuko kwenye siku ankua na hasira ama bad mood, labda unakuta umemfanyiya kitu ambacho hakipendi.

2. Umri ni numba tu wala usiwe na hofu nimi sithani kama inahusika kwenye tatizo lako.

3. Kama wenzangu walivyo sema sisi ni binaadamu na siyo malaika kwa hiyo usifikiri katika maisha yetu haya utakuta tunda ambalo halijamegwa na mtu.. na labda yeye pia alikua antafuta wakumuoa ndiyo maana akakupa mzigo bila kinga..

4. Uamuzi ni wako lakini mimi sioni haja ya kumtema huyo dada, wewe kaa naye chini na muonge. Ni shida sana kupata mtu unaye endana naye tabia..
 
Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.
Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.

tabia zenu zinafanana, wengine wanamfyeketua na k-ndom......piga chini
 
Tangazo kama hili siwezi kumjulisha mwenzangu hata kidogo. Kwanza kanisani hukwenda kuabudu maana ni mahali pa ibada, wewe ulikwenda kutafuta mrembo wa kumuoa! Kuoa hukuoa ukaanza upuuzi kama unavyouita kumfyeketua, tena bila kinga! kwa taarifa yako umeshaunganishwa kwenye gridi ya taifa. Hata wale wengine waliomfyeketua aliwaambia hivyohivyo kwamba wanamduu vizuri sana ndio maana ni wao tu wanayemfyeketua bila kinga. kapime uanze dozi mapema. Ushauri wangu Kanisani ni mahali patakatifu na mwogope Mungu na Utubu badala ya kubandika matangazo ya kutafuta utakaofanya noa mchezo wa Juma na Roza kama huyo asiye na hofu ya Mungu kama wewe.
 
Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.
Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.

Kaka huu usawa mbovu, haya mambo ya ku- do -do yamepitwa na wakati, Naweza kusema kuwa ni dhambi japo wengi hawataki kusikia!!!! Lakini angalau najua kuwa unajua habari za ukimwi, maana ukimpata mwingine utam-do halafu utagundua kasoro zake utampiga chini!!! then what? Then unatafuta mwingine ,inakuwa vilevileunatengeneza ka-cycle fulani hivi,
Tulia tafuta mtu wa uhakika,Tengeneza uhusiano makini na mungu ili ashughulike na maisha yake, siyo kila kitu tunatumia akili zetu.
 
Jibu tosha!!!! Ahsantaaaa!!!!

pole sana mpwa,
nae alikuwa kanisani kwenye misa ya asubuhi!!!!!!( walahi!!)

na wewe mpwa bana ukoje yaani kuona gugumaji tayari unalishika bila gloves?!!

Endelea kusaka, kama wa kanisani umemkuta yuko hivi jaribu baa utakuta bikra
 
LABDA NI KIMASAI

icon1.gif
Re: Mamsap ananitia mashaka.

quote_icon.png
Originally Posted by Bigirita
Unatafuta mwingine wa kumfyeketua[/SIZE] tena bila kinga?!!!!

Una balaa wewe!!

...Huo msamiati nimeupenda sana. Sijui ni zile lugha za kule nyanda za juu nini??
 
hahahaha yaani hii Topic umeifufua huko nimeanza kucheka hiyo Kumfyeketua
 
ME naona yuko fair amejitahidi kuw amuwazi....je ulifikiri mwanamke ambaye amekuzidi 5 years tena ni mfanyakazi atakuwa bikra au?? Kimsingi ni lazima awe amepita na watu........hebu fikiria akiwa ameanza latest labda a-level, chuo 1st yr, 2n yr....kipindi amemaliza hana kazi....kazini mwak wa kwanza..akahamia mtaa mwingine..ni logical kabisa....huitaji rocket science kugundua hili....mi naona anakufaa sana labda hilo la hacira tu ndio la kurekebisha....
Kama unataka sealed inabidi uende form2 ambako cjui utafungwa kwa kumkatisha masomo....
 
2,HATA SIKU MOJA USIMMEGE MTU PEKUPEKU HATA KAMA MTU HUYO NI SISTER WA KANISANI,UTAKUFA,......UCHUMBA SI NDOA ATI.....

This one is sooooo cool.

Yaani unauza team kisa umemuokota kanisani? we nawee
 
alikukomesha, alikulinganisha vizuri sana, hapo ndo mtakoma kuwa malaya na kufanya uzinzi bila kuoa. alikulinganisha na wazinzi wenzio ambao hatumii condom, wewe tu ndo anatumia kondom, kumbe anao wengi, yaani wewe ni mmojawao tu, pole sana kwa kula makapi, na bado.

hongera sana mwana wa mungu, kwani wewe ni mtimilifu, hujawahi kuzini au kufanya tendo kabla ya ndoa na pia umepata mke [kama umeoa] ambaye si malaya na ulimkuta bikira na mpaka sasa hajawahi kwenda nje ya mlango... HAKIKA WEWE NI MWANA WA MUNGU!!!

NASHANGAA TU, MWANA WA MUNGU ANAHANGAIKA NINI NA MITANDAO BADALA YA KUSHUKURU NA KUPONYA
 
ME naona yuko fair amejitahidi kuw amuwazi....je ulifikiri mwanamke ambaye amekuzidi 5 years tena ni mfanyakazi atakuwa bikra au?? Kimsingi ni lazima awe amepita na watu........hebu fikiria akiwa ameanza latest labda a-level, chuo 1st yr, 2n yr....kipindi amemaliza hana kazi....kazini mwak wa kwanza..akahamia mtaa mwingine..ni logical kabisa....huitaji rocket science kugundua hili....mi naona anakufaa sana labda hilo la hacira tu ndio la kurekebisha....
Kama unataka sealed inabidi uende form2 ambako cjui utafungwa kwa kumkatisha masomo....
Hao mbona ckuhizi ndo kwishnei kabisa, bora mwambie aweke mbegu yake, na akizaliwa amfungie kwenye handaki kama Saddam mpaka awive kwa hiyo shughuli maana cku hizi vitoto vya darasa la nne au tano tayari vimeshaanza mchezo wa baba na mama.
 
Haya mambo magumu kweli. Wewe kiranja umechapa wangapi? Kuambiwa ukweli imekuwa ishu? Kufanana kila kitu ina maana na wewe una hasira za rashasha? Ila pia kanisani siku hizi mmefanya fasheni. Mnakutana kanisani, halafu mna do bila noma! halafu bibie ana list ya wanaomfyatua kaamua kuiweka hadharani?
 
Kiranja Mkuu wa ngono unakimbia nini? KUmbuka kauli ya JK "Akili ya kuambiawa changanya na ya kwako"
 
Back
Top Bottom