Mamsap ananitia mashaka.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.
Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.
 
mkuu,
wanawake wengi ni short tempers............
wanachokifanya ni kukuvumilia hadi umchukue jumla jumla.......
ukimweka ndani ndio utaona RANGI ZAKE HALISI.....................

USHAURI WANGU:uwe mvumilivu tu..........
kama umeoa kwa sasa hamna anayethubutu kukushauri ACHANA NAE
hata kama huo ni ushauri labda usioe MWANAMKE............
kwa sababu hilo swala la kuwa short temper ni common karibu kwa wote..........
VUMILIA TU MPWA

hilo tatizo hupungua with time na age.............

VUMILIA TU MPWA WANGU............
 
alikukomesha, alikulinganisha vizuri sana, hapo ndo mtakoma kuwa malaya na kufanya uzinzi bila kuoa. alikulinganisha na wazinzi wenzio ambao hatumii condom, wewe tu ndo anatumia kondom, kumbe anao wengi, yaani wewe ni mmojawao tu, pole sana kwa kula makapi, na bado.
 
Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.
Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.

nitakuwekea ktk TV kile kipindi cha BANGO TBC1 tutumie picha kabisa

1.watu huoa binadamu hatuoi malaika,shukuru kwa vile angalau kuna mambo mnafanana.
2.Kesha kwambia anamegwa sana nje ila wamegaji ambao huwa wamevaa NANII, hawakufikii kwa ufundi.
3.Umeshaamua kutafuta mwingine
USHAURI; 1.KAPIME
2,HATA SIKU MOJA USIMMEGE MTU PEKUPEKU HATA KAMA MTU HUYO NI SISTER WA KANISANI,UTAKUFA,......UCHUMBA SI NDOA ATI.
3.TAFUTA MWINGINE,MBINU YAKO YA KUVIZIA KANISANI HAIFAI,UNAKWENDA KUSALI AU KUVIZIA DADA ZETU?HALAFU WEWE?BAHATI NZURI
SIKUJUI NINGEMWAMBIA MCHUNGAJI AKUTENGE. KOSA:UMEMEGA KONDOO WAKE KABLA YA NDOA
 
pole sana mpwa,
nae alikuwa kanisani kwenye misa ya asubuhi!!!!!!( walahi!!)

na wewe mpwa bana ukoje yaani kuona gugumaji tayari unalishika bila gloves?!!

endelea kusaka, kama wa kanisani umemkuta yuko hivi jaribu baa utakuta bikra
 
alikukomesha, alikulinganisha vizuri sana, hapo ndo mtakoma kuwa malaya na kufanya uzinzi bila kuoa. alikulinganisha na wazinzi wenzio ambao hatumii condom, wewe tu ndo anatumia kondom, kumbe anao wengi, yaani wewe ni mmojawao tu, pole sana kwa kula makapi, na bado.
taratibu mtumishi wa mungu.
 
Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.

Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.
vumilia tu jibaba. tena kuna wengine wana hasira mbaya sana, wakikasirika hata msuwaki hawataki kupiga.
 
Ila sasa mkuu kanisani ulikua unatafuta dem au Mchumba huko?kama ni mchumba,pole sana coz huko ingawa kuna afadhali ila wasanii ndiko walikojikita ili kurudisha imani.Pia kama ulikua unatafuta dem tu huko inabidi ujikite kwenye toba mkuu

Pia,huyo dem nae kutamka hivyo ilika kajisahau au ni makusudi?Either way bado huyo ni mzinzi kwa kweli,na shukuru tu kama angalao amekua akijali huko alikopita

Hadithi kama hizi,mweh!nimalize shule nijue nitaweka mikakati gani ya kusaka njiwa wangu lakini ktk hii hali,gharika !
 
Hebu Fuatilia hii kanuni utagundua makosa yako then nitafute nikupe kanuni itakayokusaidia maishani, by the way, Church tunaenda kuomba na kuabudu MUNGU si kutafuta mademu

ROMANCE MATHEMATICS

Smart man + smart woman = romance
Smart man + dumb woman = affair
Dumb man + smart woman = marriage
Dumb man + dumb woman = pregnancy
______________________________
OFFICE ARITHMETIC

Smart boss + smart employee = profit
Smart boss + dumb employee = production
Dumb boss + smart employee = promotion
Dumb boss + dumb employee = overtime
_____________________________

SHOPPING MATH

A man will pay $20 for a $10 item he needs.
A woman will pay $10 for a $20 item that she doesn't need.
_____________________________

GENERAL EQUATIONS & STATISTICS

A woman worries about the future until she gets a husband.
A man never worries about the future until he gets a wife.
A successful man is one who makes more money than his wife can spend.
A successful woman is one who can find such a man.
_____________________________

HAPPINESS

To be happy with a man, you must understand him a lot and love him a little.
To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all.
______________________________

LONGEVITY!

Married men live longer than single men do, but married men are a lot more willing to die.
______________________________

PROPENSITY TO CHANGE

A woman marries a man expecting he will change, but he doesn't.
A man marries a woman expecting that she won't change, and she does.
_____________________________

DISCUSSION TECHNIQUE

A woman has the last word in any argument.
Anything a man says after that is the beginning of a new argument.
_____________________________
HOW TO STOP PEOPLE FROM BUGGING YOU ABOUT GETTING MARRIED
Old aunts used to come up to me at weddings, poking me in the ribs and cackling, telling me, "You're next." They stopped after I started doing the same thing to them at funerals.
 
vumilia tu jibaba. tena kuna wengine wana hasira mbaya sana, wakikasirika hata msuwaki hawataki kupiga.

mwambie........usimfiche, asijekutegemea atakutana na ambae hana hasira!!
hawa wako kama baruti, inaweza kukuaa muda mrefu, lakini under the right conditions inalipuka!
 
mh, kwa umri naona hatakufaa sana,
kwa kukulinganisha na wengine mlipokuwa kitandani naona alijisahau na kusema yalo moyoni mwake kuwa siyo mwaminifu.
Kwa wewe kulala naye kabla ya ndoa inaonesha kuwa umemkosea Mungu na utahitaji kutubu,
Kwa hasira alizo nazo mwanzoni nilifikiri labda ana mimba lakini inawezekana ni kwa sababu ya inferiority complex kwa sababu ya tofauti ya umri.
USHAURI: Sikiliza moyo wako na endelea kumwomba Mungu ili akupatie nguvu ya kuamua yatakayo kufaa katika maisha yako. Ukimpata jitahidi kuwa mwaminifu katika ndoa yako. Ni hayo tu!
 
Mko sawa kila kitu, sawa hata kwenye nyanja hiyo mliyokuwa. wewe hukusema tu wangapi umemega mpaka hapo mlipokutana. heri yeye kasema ukweli kuliko wale wanaodanganya eti boyfriend wangu yupo ulaya hapa sina mtu. au nipo single mwaka wa 3 huu boyfriend wangu alinitosa halafu siku kadhaa zikipita, utaona mara hapatikani au unamkuta na simu mbili au tatu kila mwanaume kapewa namba yake. hapo chacha mshukuru mungu kawa open na umemjua alivyo otherwise ungeingia mkenge
 
Mh! mwanangu umekwishahapo omba mungu tu wala usimwache maana ankusifu kwa kwa ubunifu na utendaji wako labda ulisomea urusi?
 
Back
Top Bottom