Mamlaka ziangalie uuzwaji wa visu, mapanga na vitu vyenye ncha kali barabarani Dar es Salaam

teri22

Member
Aug 13, 2015
12
12
Katika karne ya problems za mental health, inaogopesha kuona visu, mapanga na vinginevyo vinaruhusiwa kuuzwa waziwazi barabarani tena hata pasipokuwa kwenye mifuko yake.

Unakuta Muuzaji anakuonyeshea kwenye screen na kama hujafunga kioo basi inakuja hapo kwenye sikio lako! Kwakweli hii hatari sana sana. Tunaomba Mamlaka wapige marufuku hivi vyombo kuwepo barabarani. Waendelee kuuza midoli na ma epo.

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom