Mamlaka za ajira nchini ni zipi ukiacha sekretarieti ya ajira?

Sekretarieti ya ajira sio mamlaka ya ajira, kwenye ajira za serikaini
Ukisoma matangazo yao ya kazi wanasema "on behalf of"
Mamlaka za ajiri serikalini ni Makatibu wakuu, Ma RAS, ma DED, wakuu wa taasisi zinazojitegemea ie DGs, CEOs
wao ndio wanaotambua nafasi zilizowazi kwenye taasisi zao, kuziwekea bajeti ya mishara na kuwaomba Sekretarieti ya ajira iwatangazie na kufanya usaili wa niaba yao tu nao waiamiisa uwapelekea waliofauu ili mamlaka za ajira ziwaajiri. na kuwachukulia hatua za kinidhamu pindi wakikosea.
Seretarieti ya ajira ni wakala wa kutangaza na kufanya usaili wa nafasi ziizowazi ambazo wameletewa na mamlaka mbalimbali za ajira serikalini
 
Back
Top Bottom