Mambo ya Wachagga

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
All Rights remain to Alex Marwa's Photos (Faceboook.com)

sphotos.jpg

Mambo ya Wachaga kubana matumizi : dereva, bi harusi, bwana harusi na best man ( pic courtesy of Imma Mbuguni)
 
Mie sitii neno ni shemeji zangu wasije wakaninyan'ganya mke buree
 
All Rights remain to Alex Marwa's Photos (Faceboook.com)

sphotos.jpg

Mambo ya Wachaga kubana matumizi : dereva, bi harusi, bwana harusi na best man ( pic courtesy of Imma Mbuguni)

Jamani mbon hivyo!! wachagga wachagga tokea jana! lakini mkumbuke ndio wanaleta maendeleo katika nchi hii...au nawakilisha...mi sio mchagga....
 
Hapa si pa kusema kitu bana...wako wengi hao, kama jeshi la manyigu!

Lakini ninachojiuliza, MSIMAMIZI wa bi harusi yuko wapi, na yeye atasafirije kuwatafuta wenzie?
 
Sio swala la kubana matumizi... hatupendi mashikolo mageni yenu... ambayo kwa kiasi flani hayana umuhimu... na hasa kutokana na utashi wa mtu... in fact nimependa kwani mtu anajikuna anapofikia... yanini ufanye harusi ya milioni 10 wakati ikiisha unakwenda kukaaa kwenye chumba cha elfu 30 kwa mwezi...
 
mbona mnatuandama jamani hivyo tukibuni mnatuita wabairi ila ss tunaona ni fasheni sio kila jambo lifanywe kwa mtindo ule ule miaka nenda miaka rudi only thing is permanent is change ila ninachowapendea mnatuiga sana tukishabuni
 
Hapa si pa kusema kitu bana...wako wengi hao, kama jeshi la manyigu!

Lakini ninachojiuliza, MSIMAMIZI wa bi harusi yuko wapi, na yeye atasafirije kuwatafuta wenzie?

hiyo staili mpya msimamizi ni mmoja tu mkuu tehe tehe tehe
 
Sasa inatosha.
Mnatuonea sana jamani
Jamani jamani jamani........
 
Teh teh, so ubunifu unainclude mpaka shughuli kushuhudiwa na shahidi m1 , yaani wa kiumeni tu, huh!!
 
Hapa si pa kusema kitu bana...wako wengi hao, kama jeshi la manyigu!

Lakini ninachojiuliza, MSIMAMIZI wa bi harusi yuko wapi, na yeye atasafirije kuwatafuta wenzie?

Anatembea kwa mguu ....kina nanihii hawa ndo maana wengine wanakula ugali na picha ya samaki..hiyo milima ya upareni kabisa
 
mngesema ni wapare sawa...wachagga nawajua hawana ubahili huo, nafikiri mtoa uzi hata wewe unawaelewa ni basi tu umeamua....FYI wachagga wili rimeini tu bi wachagga....teh teh teh teh
 
Sio swala la kubana matumizi... hatupendi mashikolo mageni yenu... ambayo kwa kiasi flani hayana umuhimu... na hasa kutokana na utashi wa mtu... in fact nimependa kwani mtu anajikuna anapofikia... yanini ufanye harusi ya milioni 10 wakati ikiisha unakwenda kukaaa kwenye chumba cha elfu 30 kwa mwezi...

Hapo juu bolded naona wewe ni wa mwanza
 
Hapa sasa mi sisemi kitu............. :-?

n5689053952320561278143.jpg

tete upo?
 
Back
Top Bottom