Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

Mwanamke anayefaa kuolewa anapaswa kuwa na tabia hizi hapa. Please read and confirm.
A -Appearance
B -Body structure
C -Character
D -Decipline
E- Education
F -Fashion.
Mwanamke mwenye sifa hizo anafaa kabisa maana atakuwa amekidhi vigezo na masharti. Je, wewe una nyongeza hapo?

Umesema kuwa "anapaswa",ningependa kujua kuwa anapaswa na nani?
Pia umesema kuwa "amekidhi vigezo" ningependa kujua amekidhi vigezo vipi na vya nani?
 
A-Age
B-body structure
C-Character
D-Diseases
E-Education
F-Family back ground
 
Umesema kuwa "anapaswa",ningependa kujua kuwa anapaswa na nani?
Pia umesema kuwa "amekidhi vigezo" ningependa kujua amekidhi vigezo vipi na vya nani?

Hawa matinejaz wa kipindi hiki majanga sana. Yani mpaka kutafuta wapenzi wanataka wapige kura.
 
Mwanamke anayefaa kuolewa anapaswa kuwa na tabia hizi hapa. Please read and confirm.
A -Appearance
B -Body structure
C -Character
D -Decipline
E- Education
F -Fashion.
Mwanamke mwenye sifa hizo anafaa kabisa maana atakuwa amekidhi vigezo na masharti. Je, wewe una nyongeza hapo?

Unamaana
A. Muonekano
B. Umbo
C.Tabia
D.Nidhamu
E.Elimu
 
Mwanamke anayefaa kuolewa anapaswa kuwa na tabia hizi hapa. Please read and confirm.
A -Appearance
B -Body structure
C -Character
D -Decipline
E- Education
F -Fashion.
Mwanamke mwenye sifa hizo anafaa kabisa maana atakuwa amekidhi vigezo na masharti. Je, wewe una nyongeza hapo?

Harafu wewe unayeoa utakuwa na sifa gani?
Ndoa ni matunda ya sifa za mwanaume na mwanamke. Mfano mdogo, Education. Moja awe ngumbalu na mwingine msomi wa chuo kikuu. Ndoa itaenda? Tena bora ngumbalu awe mwanamke itaenda hivyo hivyo lakini kinyume chake ngumu zaidi.
 
Kila mtu au naweza sema kila mmoja anakuwa ana vigezo vyake vya kumfanya aoe yule amtakae.

Kuna walioolewa au walioowana bila ya kigezo hata kimoja ulichoorodhesha hapo juu
 
Mwanamke anayefaa kuolewa anapaswa kuwa na tabia hizi hapa. Please read and confirm.
A -Appearance
B -Body structure
C -Character
D -Decipline
E- Education
F -Fashion.
Mwanamke mwenye sifa hizo anafaa kabisa maana atakuwa amekidhi vigezo na masharti. Je, wewe una nyongeza hapo?
ongeza mcha Mungu.,.

humu ndani nimekuja ku note kitu, huwaga mnashadadia sana sifa za wife materials sana, kwani wanaume nyie unazan hamchunguzwagi ndy ukubaliwe uwe mume wamtu....inakua kama ukandamizaji wa jinsia ya KE flani hivi.
acheni hizo
 
Back
Top Bottom