Mambo ya kikubwa

Mods muwe mnaangalia threads kama hizi. Sasa mtu kweli anakurupuka tu na kutubandikia maneno sita ya kijinga kama haya na kupost ndio maana yake nini?
 
mtoto mdogo unakurupuka na pombe mda huu c usome kwanza sasa ndo umepost upuuzi gani
 
Uwezo wa kuelewa sijui ulienda wapi? naulizia jukwaa la mambo ya kikubwa limeondolewa humu JF siku hizi? jamani mpaka watoto wadogo kuliko mimi wajue naulizia nini!!!
 
Ndiyo Jukwaa la mwisho kabisa katika majukwaa ya JF!

Ila nina hofu mods wanaangalia na msimamo wa mtu mwenyewe na ndiyo ufunguliwe! Karibu utawakuta wakuu wa jukwaa lengwa

Uwezo wa kuelewa sijui ulienda wapi? naulizia jukwaa la mambo ya kikubwa limeondolewa humu JF siku hizi? jamani mpaka watoto wadogo kuliko mimi wajue naulizia nini!!!
 
Niko mkubwa haya mambo yamo humu? nataka kujiliwaza.

Ha ha ha leipzig una miaka mingapi wajameni? Kama umekuwa inabidi umwombe invisible akupeleke kwa wakubwa!! Siri za kule ziache kule kule usilete huku uraiani JF wale kule Fesibuku (Uso wa kitabu). Haya nenda omba!!
 
Uwezo wa kuelewa sijui ulienda wapi? naulizia jukwaa la mambo ya kikubwa limeondolewa humu JF siku hizi? jamani mpaka watoto wadogo kuliko mimi wajue naulizia nini!!!

Aha kumbe!! Siku hizi siyo free access hata kwa members waliochangia ni lazima upate kibali maalum. Sasa wewe mhh nakuaona ...Jaribu sijajua kwa taratibu za siku hizi kama ni accessible kwa kila member.Karibu kuchangia kuiwezesha JF, hata ka 50, thousand kanasaidia sana!!
 
Back
Top Bottom