Mambo ya hii nchi yamenichosha sana, ni kama ku-deal na watoto watukutu

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,265
Nchi hii inachosha sana ukiangalia mambo inayofanya, vurugu kila kona na wala huoni mambo ya maana yakifanyika.

Ni kama kuwa na watoto watundu, unamkataza hiki anafanya kile, ukimkataza kile anarudi kwenye hiki.

Ni kama vile wakubwa wanafanya "Trolling" ili kuwaudhi tu wananchi. Nimechoshwa na kukasirishwa sana na hawa watu wazima wanaofanya mambo kama watoto watukutu.

Kuna namna nyingi za kudeal na trolls, mojawapo ni kutowapa attention, ngoja niache kuwafuatilia. Aaargh!
 
Back
Top Bottom