Mambo ya geto!

Naomba kuelimishwa, hivi hii term Masaburi maana yake ni nini? Ni msamiati mpya? Kuuliza siyo ujinga.
Ni sehemu ya nyuma ya mwanadamu inayotumika kukalia na ndani yake kidogo kuna tundu linalotumika kutoa waste material katika mwili wa binadamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom