Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Beggers cant be choosers! Imf and the wb and other donors are controlled by the US!

We are bankrupted! Dolla juu , hospital s going without drugs and civil servents going months without pay.

is this what you promised Mr. President?

He who pays the piper chooses the tune!
 
Kama ya CCM na UKAWA yamemshinda ni hayo ya West na East atayaweza? Yetu macho na mipasho ya pwani ya mbayuwayu ya kuchukua akili yako na kuchanganya na ya kupewa. Mipasho hiyo ya namna hiyo yafanya kazi mwisho magogoni haivuki bahari hiyo.
 
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.

Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na
mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.

Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .

Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days

Habari yenyewe ni upuuzi mtupu na mtoa uzi huu ni mtumwa kifikra na mpenda kutawaliwa. Tanzania ni nchi huru na yenye maamuzi yake tangu Uhuru Raisi wetu wa kwanza Mwalimu Julius Nyerere alishawaeleza wazi kuwa " Wasituchagulie marafiki" Tanzania si adui wa yeyote kati ya East or West na ni rafiki wa wote.
China imekuwa msaada mkubwa wa Tanzania tokea baada ya Uhuru wamesaidia ujenzi wa miundombinu mingi kama reli, barabara na bandari kipindi ambacho USA haikuwa na mpango kabisa na Tanzania. Na pia USSR au Urusi kama tunavyoiita nayo ilikuwa kama kaka mkubwa wa Tanzania katika kipindi chote cha Ujamaa na Kujitegemea na imetufundishia wataalamu wetu wengi tu na imetusaidia sana kijeshi kipindi ambacho USA na wenzake hawakuwa na mpango na sisi.

Msimamo wetu ni ule ule tu hatuna adui wala rafiki na wasituchagulie maadui wala marafiki. Kama ugomvi ni wao sio sisi. Songa mbele JK usitishwe
 
Safi sana..bora US waipige choni Tanzania , hawa magamba wametuharibia nchi

Mburura we unafikiri kuna kipande cha kitu kinaitwa Tanzania? Tanzania ni wewe na sisi wote na serikali na ardhi yetu. Na lolote baya litakalofanywa dhidi ya Tanzania jua wazi tunaumia sote pamoja na wewe.
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa hasi na chanya daima havitengamani!
Hata mimi ningeshangaa kama ingewezekana mtu mmoja kuwa rafiki wa mahasimu hawa wawili na wote wakaridhia hali hiyo.
Hiyo nayo ni ngoma ingine. Labda atoe mikataba 50 kwa bwana kaka mkubwa.
 
Hatuitaji kufadhiliwa na mazungu wala machina na marusi sisi kama AFRIKA tutumie utajiri wetu tuliyo pewa na "Hallah" kujikwamua na laana ya misaada ya wanyonyaji, watu weusi mtaomba mpaka lini mnamkosea MUNGU haki ya kutuumba tutawale. Huu ni wendawazimu kuyategemea haya majitu ya Ulaya na Asia. Lot's of Love to All Reformers in Africa.
 
Siku usa wakigawa siraha nishtueni nipate ile ndege isiyo na rubani niwateketeze magamba.
 
dawa nikufanya kazi kwa bidii na kujitegemea tu sisi wenyewe, so far tunaresources kibao.. huu utegemezi ni kitu kibaya sana. kuna cku watatuambia tuwape wake zetu ndo watupe misaada!!
 
Mkuu@Songoka hayawihayawi sasa yamekua jion Hii ndio ameelekea Kule marekani.
 
Attachments

  • 1415301950139.jpg
    1415301950139.jpg
    57.9 KB · Views: 186
  • 1415301969138.jpg
    1415301969138.jpg
    88.8 KB · Views: 176
Habari yenyewe ni upuuzi mtupu na mtoa uzi huu ni mtumwa kifikra na mpenda kutawaliwa. Tanzania ni nchi huru na yenye maamuzi yake tangu Uhuru Raisi wetu wa kwanza Mwalimu Julius Nyerere alishawaeleza wazi kuwa " Wasituchagulie marafiki" Tanzania si adui wa yeyote kati ya East or West na ni rafiki wa wote.
China imekuwa msaada mkubwa wa Tanzania tokea baada ya Uhuru wamesaidia ujenzi wa miundombinu mingi kama reli, barabara na bandari kipindi ambacho USA haikuwa na mpango kabisa na Tanzania. Na pia USSR au Urusi kama tunavyoiita nayo ilikuwa kama kaka mkubwa wa Tanzania katika kipindi chote cha Ujamaa na Kujitegemea na imetufundishia wataalamu wetu wengi tu na imetusaidia sana kijeshi kipindi ambacho USA na wenzake hawakuwa na mpango na sisi.

Msimamo wetu ni ule ule tu hatuna adui wala rafiki na wasituchagulie maadui wala marafiki. Kama ugomvi ni wao sio sisi. Songa mbele JK usitishwe

Nikuhabarishe tu mkuu, kama umemsikia profeseri juzi pale Dodoma, alithibitisha hoja yangu pale aliposema Bora china hawampi masharti kama wanayotoa WEST, kimsingi alikua amepanic na mashart aliyopewa ambayo ndo haya niliyokujuza.
Tanzania ni nchi huru kinadharia tu, kimsingi ni huru kisiasa lakini kiuchumi sisi ni watumwa na vibaraka kwa wakubwa tunaopokea order na directives bila kubisha.
Nikukumbushe kuwa UCHUMI ndo nguzo ya taifa na sii siasa, so kama sisi ni watumwa KIUCHUMI basi ni watumwa hata kisiasa.
Pia unasema MSIMAMO WENU?? Wako wewe na nani?? Mwenzio JK amekiri juzi kuwa bora china hawampi masharti kama WEST.
 
NIko nyuma yako pia????

kama umekuali sasa nkueleweshe kaa tayari::smile-big:
elewa maana ya ngome, halafu rudi darasani soma kitabu cha buzza, hans morganthau , Anarchy and the Limits of Cooperation by Grieco, Joseph. pia usimsahau dunne 'Anarchy'

tafuta maana ya anarchy, soma kitabu titled anachy is how states make of it(by w.alexander)

utafakar mwenyewe then rudi hapa
 
Back
Top Bottom