SENZANGAKONA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 268
- 188
Hapo chacha, yaleyale ya mshika mawili..........!!!!!
Beggers cant be choosers! Imf and the wb and other donors are controlled by the US!
We are bankrupted! Dolla juu , hospital s going without drugs and civil servents going months without pay.
is this what you promised Mr. President?
Huyu mtu kachoka hata kuchunga hataweza.
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.
Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.
Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.
To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .
Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo
Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days
Safi sana..bora US waipige choni Tanzania , hawa magamba wametuharibia nchi
Huyu mtu kachoka hata kuchunga hataweza.
Habari yenyewe ni upuuzi mtupu na mtoa uzi huu ni mtumwa kifikra na mpenda kutawaliwa. Tanzania ni nchi huru na yenye maamuzi yake tangu Uhuru Raisi wetu wa kwanza Mwalimu Julius Nyerere alishawaeleza wazi kuwa " Wasituchagulie marafiki" Tanzania si adui wa yeyote kati ya East or West na ni rafiki wa wote.
China imekuwa msaada mkubwa wa Tanzania tokea baada ya Uhuru wamesaidia ujenzi wa miundombinu mingi kama reli, barabara na bandari kipindi ambacho USA haikuwa na mpango kabisa na Tanzania. Na pia USSR au Urusi kama tunavyoiita nayo ilikuwa kama kaka mkubwa wa Tanzania katika kipindi chote cha Ujamaa na Kujitegemea na imetufundishia wataalamu wetu wengi tu na imetusaidia sana kijeshi kipindi ambacho USA na wenzake hawakuwa na mpango na sisi.
Msimamo wetu ni ule ule tu hatuna adui wala rafiki na wasituchagulie maadui wala marafiki. Kama ugomvi ni wao sio sisi. Songa mbele JK usitishwe
NIko nyuma yako pia????