PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,230 17,814 Nov 15, 2015 #6 Njaa mbaya sana. Unaota unakula misosi ya maana kumbe tangu juzi ujakula hata mihogo.
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,196 Nov 15, 2015 #7 Mr Chin said: Click to expand... Mshaanza kulipwa? Walah uchaguzi ufanyike kila baada ya miaka miwili, mbona raha.
Mr Chin said: Click to expand... Mshaanza kulipwa? Walah uchaguzi ufanyike kila baada ya miaka miwili, mbona raha.
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,520 86,074 Nov 15, 2015 #9 ndio asante ya usaliti kwa usaliti kwa watanzania