Consultant aliyepewa kazi ya kufuatilia sababu ya JK kupata ushindi mwembamba kawasilisha ripoti nayo imetoa pendekezo la watuhumiwa wa ufisadi kutoswa kwani ndo njia pekee ya kurejesha imani kwa wananchi
Kuna mapya yamejiri punde, naomba muda nifuatilie niwafahamishe.
Hili hawaja Copy and Paste kweli kutoka CDM kutumia ma-consultants kwenye mambo ya kitaalam kuliko kutumia mawazo ya miaka ya 47????????
Kwa utetezi wa Rostam na wenzake ni kuwa mbona majimboni mwao walishinda kwa ushindi wa Tsunami na JK alipata ushindi mzito sana? Anadai si sahihi wao kudaiwa kuwa chanzo cha kupungua kura za JK uchaguzi uliopita
well said mkuluHawana ubavu wa kumtosa R.A. Kwa sababu ndio mfadhili wao, their days are numbered.
Wabunge wenu wangerudisha magari basi tuuone mfano!Huyo consultant atakuwa alipewa hadidu ya rejea moja. Ukweli ni kuwa ushindi kiduchu wa JK ni kwa sababu ya uwezo wake mdogo. Huo uwezo mdogo unafanya ashindwe kushughulikia mambo mengi ikiwemo ufisadi. Na wananchi wanamwona kama msanii fulani tu. Hivi ulishawahi kusikia nchi ina ambulance za bajaji, zimamoto za bajaji na matrekta ya power tillers sijui huku viongozi wakitesa na magari yenye thamani ya shs milioni 200 kila moja ikaendelea? Unategemea kiongozi wa namna hiyo atapendwa na wananchi wake? Ni kwamba wananchi wamachoka
Mkuu unauliza tende umangani? CDM kuna wanachokikataa toka CCM?
Wabunge wenu wangerudisha magari basi tuuone mfano!