SoC04 Mambo matano kugeuza siasa za tanzania

Tanzania Tuitakayo competition threads

jastin22

New Member
May 2, 2024
3
0
1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu.
2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki ya mauzo kwa taifa lijalo.
3.kuwa na tume huru ya uchaguzi yaani wasimamizi wasiteuliwe na kiongozi yoyote wasimamizi watume maombi kama wanavyotumia kusimamia daftari la wapiga kura.
4.huru wa katika kuripoti vyombo vya habari za uhakika za sio tetesi kama za mpira.
5.kuwa na wahusika wa vyama tofauti katika kuhesabu na kutangaza matokeo na sio kuwatenga .
 
Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu.
Ombi langu tu ni kwamba kila mgombea awe kijana au mzee awe anafanyiwa 'background check' ya ulipaji wake wa kodi.

Tunataka uhakika wa uzalendo wake kama je? Atakuwa na uchungu na kodi anazoenda kuzitungia sera?

Unalionaje hili?
wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki ya mauzo kwa taifa lijalo.
Hapana. Asipewe mtu awaye yote kipaumbele kwa mambo ambayo hayana uhusika wowote na kazi husika. Tunataka kuwachagua watu kwa kufuata.
PRAGMATISM - Atakayetumia njia sahihi
MERITOCRACY - Anayefaa zaidi kwa kazi husika, ujuzi etc. Mfano waziri wa afya awe daktari, MPH PHD inayoendana na uongozi na afya.
Honesty - Kila mtu tu afanye kile anachodai kuwa anafanya. Ova

kuwa na tume huru ya uchaguzi yaani wasimamizi wasiteuliwe na kiongozi yoyote wasimamizi watume maombi kama wanavyotumia kusimamia daftari la wapiga kura.
4.huru wa katika kuripoti vyombo vya habari za uhakika za sio tetesi kama za mpira.
5.kuwa na wahusika wa vyama tofauti katika kuhesabu na kutangaza matokeo na sio kuwatenga .
Tunakubaliana vizuri hapa. HAKI na itawale
 
Back
Top Bottom