MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,057
- 1,371
1. Mahakama ya Kadhi:-
Waislamu walio wengi hawaoni sababu ya kupinga kuwepo kwa Mahakama hii ambayo itawahukumu waislamu na wale watakao penda kupeleka matatizo katika Mahakama hizo. Nchi ya Kenya, Uganda, Afrika ya kusini, Uingereza na nchi nyingi duniani zinazitambua Mahakama hizo kwa mujibu wa Katiba zao. Lengo ni kuzipa Mahakama hizo nguvu za kisheria katika maamuzi yake. Chakushangaza wanao pinga sio Waislamu.
Taarifa zilizo tufikia leo hii ni kwamba, Wabunge wote Waislamu wamejipanga kutoka ndani ya Bunge hilo mara, Bunge hilo litakapo tupilia mbali Hoja hiyo.
2. Serekali Mbili :-
Serekali mbili ni kiini macho kwani Tanzania ni Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar. Vipi leo kuwe na Serekali ya Zanzibar na Ya muungano na kusiwe na Serekali ya Tanganyika???.
3. Nchi ya Tanganyika:-
Vijana wengi wanasumbuliwa na Jinamizi la Historia. Hivyo wangependa kujitambulisha kama Watanganyika.
4. Uraia Pacha:- ( HII HOJA NIMEIFUTA, NIMEKUBALINA NA WAHESHIMIWA WAJUMBE BUNGE MAALUM LA KATIBA, hasa Mheshishimwa Riziki Lulida na Mheshimiwa Ezekiah Ulouch. Siungi Mkono tena Uraia Pacha).
Hoja hii nimeifuta. Uraia pacha hautakua na Maslahi na nchi yetu. NO! to Dual Citizenship
CC. Wananchi wote
CC. Wana JF wote,
CC. Invisible,
CC. Wote walio nukuu post kabla sija ihakiki.
CC. Bolibo - kwa marekebisho