Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake
Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari ‘Reginald Mengi aivuruga taaluma ya habari nchini' halijui au halina uhakika nani mmiliki wa kampuni inayolichapisha. Stori hiyo, inayoendelea uk wa 2 katika Paragraph yake ya 11 inaanza kwa maneno yafuatayo:
"Wengi wa wafanyabiashara waliotajwa na Mengi ni wamiliki wa vyombo vya Habari, akiwamo Rostam Aziz anayesadikiwa kumiliki Kampuni ya New Habari...."