Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,606
17,772
Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100,
Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi....

Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)

Unaweza ukajiuliza maswali Je matukio hupangwa au Yalijikuta kufanana tu..
Na kama yalipangwa yalipangwa na nani?

Mfanano huo wa baadhi ya majina, matukio yao na mfanano wa miaka ya matukio yao ambayo yamepishana miaka 100 tu ila tarakimu kuwa sawa unatoa picha kuwa huenda we Live on simulation and we either Not have free wills au yalitokea just kwa bahati tu..

shughuli zao kisiasa

  • Abrahamu lincoln alichaguliwa kwa mara ya kwanza bungeni mwaka (elected for congress) mwaka 1846,
  • Wakati john F kennedy alichaguliwa bungeni (elected in congress) mwaka 1946
  • Abrahamu Licncoln alichaguliwa kuwa Rais wa usa mwaka 1860
  • Wakati JFK alichaguliwa kuwa Rais mwaka 1960

Katika muda waliokuwepo ofisini
  • Secretary wa Lincoln aliitwa Kennedy wakati secretary wa Kennedy aliitwa Lincoln.
Vifo vyao

  • Marais wote waliuawa siku Ya ijumaa,Na wote walipigwa risasi za kichwa
  • Wote waliuawa na Watu kutoka Kusini mwa USA yaani Southern so wote waliuliwa na Southerners
  • John booth ambaye anasemekana alimuua Lincoln alizaliwa mwaka 1839 Lee osward ambaye inasemekana alimuua Kennedy alizaliwa mwaka 1939
  • Lincoln aliuawa kwenye theater inayoitwa Ford , Na Kennedy aliuliwa kwenye Gari iliyotengenezwa na Ford..
  • Limcoln alipopigwa pale theater muuaji alikimbia na kwenda kujificha Warehouse..Ila kennedy aliuliwa kwenye warehouse na muuaji alienda kujificha Kwenye theater.
  • Booth (Aliyemuua Lincoln) na oswald (Aliyemuua Kennedy) wote waliuliwa kabla ya kufikishwa mahakamani..
  • Wote walifuatiwa na Marais kutoka southern huku wote waliowafatia wakiitwa President Johnson (Sir Johnson's) yaani Andrew Johnson na Lyndon Johnson
  • Andrew Johnson aliemfuata Lincoln alizaliwa 1808 na lyndon Johnson aliyemfiata lincoln alizaliwa 1908
Mwisho...Kuhusu Hii case ya Surreal ya Lincoln na JKF..

  • Ni kwamba kabla ya kuuliwa wiki moja kabla Lincoln alikuwa sehemu moja inaitwa Monnroe Maryland ..Huku Na week moja kabla Kennedy kuuliwa alikuwa na mtu anayeiywa Maryland monroe
 
Inaweza, kama haivunji sayansi na mantiki inaweza.

Ila hii nadharia ya simulation naikubali, swali ambalo hua najiuliza, nani anendesha hiyo simulaton?
Ni swali ambalo huwa linaniumiza Mpaka leo kuliwaza!
Huwa nakuja kwenye baadhi ya Hypothesis..
Maybe ANUNAKI kama baadhi ya vitabu vinavyosema or Maybe Mungu mwenyewe au maybe Shetani or May some kind of Group...

But kinachoumiza ni kwamba Once you know the Theories and Hypethetical Thought za Simulation Huwa hazina jibu hata ukijaribu kuzipuuza vipi
 
ichukulie kama nadharia tu,

jifunze agnosticism na ignosticism vitakusaidia
 
ichukulie kama nadharia tu,

jifunze agnosticism na ignosticism vitakusaidia
MKuu hizi Agnosticism na ignosticism nilijifunza sana na vitabu ninavyo si chini ya 15 na ndo ilinipelekaga kujifunza kuhusu ANUNAKI na pia kuhusu Atheist...

hIi kwa mtu ambaye hayuko tayari kuupokea Ukweli asije akajaribu kugusa kusoma hizo vitu wengi wanachanganyikiwa..
 
Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100,
Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi....
...Sasa Raia Wawili wa Marekani kati ya Watu Bilioni Zaidi ya SABA Matumio Yao yakifanana ndio Kitu Cha Ajabu ???...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
MKuu hizi Agnosticism na ignosticism nilijifunza sana na vitabu ninavyo si chini ya 15 na ndo ilinipelekaga kujifunza kuhusu ANUNAKI na pia kuhusu Atheist...

hIi kwa mtu ambaye hayuko tayari kuupokea Ukweli asije akajaribu kugusa kusoma hizo vitu wengi wanachanganyikiwa..
Ukwel upi ambao unafikir uliupokea?.
Maana hizo ni theories tu ambazo sio lazima kila mtu azikubali.
 
Back
Top Bottom