Mambo ambayo dhahiri hayakwepeki kutekelezwa na Rais yeyote ajaye wa Tanzania.

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Mambo ambayo dhahiri hayakwepeki kutekelezwa na Rais yeyote ajaye wa Tanzania.
1. Elimu ya lazima kuwa zaidi ya darasa la saba.
2. Kuhakikishia wananchi makazi bara.
3. Kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa muhimu kama sembe,sukari,mafuta taa,vifaa vya ujenzi na zana za kilimo.
4. Kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
5. Kuandaa mchakato wa kuandaa katiba mpya ya Tanzania itakayoendana na mfumo wa vyama vingi.
6.
7.
8.
Ongezea...........
 
6.Kupambana na ufisadi;
7.Kupunguza utegemezi katika bageti ya nchi;
 
Back
Top Bottom