Mambo 10 usiyoyafahamu kuhusu kuwa mpenzi wa kike ambae ni kibonge katika maisha na mapenzi

Mbona mi niko nae ila ni mkorofi mbaya,yani hana hata kimoja kati ya vyote ulivosema.
 
Ila kwa bonge kabla ya kuanza 'shughuri' unatakiwa uwe umekula umeshiba!

sidhani kama ni kweli!

tena kwa taarifa tu ni kwamba,

usije kujaribu kula halafu ukaenda kugegeda! baba utalowa mpaka ushangae!!

ile sio mieleka ujue eti unatumia nguvu na mi hasira!!

people huwa zinalegea vibaya utadhani zimekula kungwi!!!
 
sasa wale ambao tulikuwa vimodo, then baada ya kupata mtt tukawa vibonge mnatuelezeaje
 
C programming kama ni utafiti basi huu umefaulu
Yani ni Ukweli mtupu wala haujakosea hata 1.
 
kesho naenda kumtafuta bonge sasaa araaaa! kwanini wengine wafaidi peke yao?
 
kama ulikuwa kwenye mawazo yangu, unamuoa mwembamba anakuja nenepa baadae hapo inakuwaje?? C programming

wengi wetu tukipata wtt tunaongezeka, especially wkt tunanyonyesha. na ukizaa 5kg, mtt mwenye apetite nzuri, anakunyonya hasa. inabidi mzazi ule kwaajili ya afya ya mtt pia.

mi nakumbuka nilikuwa nakataa kula ili nisinenepe wkt mtt alikuwa ananikamua hasa. kuna siku nilitaka kudondoka kwa kukosa nguvu mbele ya mama mkwe, Dr akasema sili chakula cha kutosha. baba m2 alikasirika sana akahisi nataka kumuharibia first born wake
 
Madame B njoo pande hizi

.....nimekuja wasemaje Bujibuji?
tumblr_m2dnb8bpnp1r6oep1o1_1280.jpg
 
Last edited by a moderator:
kesho naenda kumtafuta bonge sasaa araaaa! kwanini wengine wafaidi peke yao?
Shauri ysko we wasikilize tu hawa jamaa, kwanza mabonge yanasababisha
magodoro kuisha mapema, pili gogo.... Tatu..... mh! huyo kapata shuga nanihiii
 
Anayebisha Abishe tu, lakini ukweli ni kwamba WANAWAKE MABONGE Ni Watamu Sana.

NINA USHUHUDA.
 
Anayebisha Abishe tu, lakini ukweli ni kwamba WANAWAKE MABONGE Ni Watamu Sana.

NINA USHUHUDA.

Hata mimi nina ushuhuda mkuu. Napenda sana mwanamke awe na mwili wake bhanaa, ila usizidi kama wa Hadija kopa au Nasma Hamis!!
 
Back
Top Bottom