Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
Niyaonayo katika utunzi wa gazeti la MTANZANIA la leo
"SHIDA Salum, mama mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe." (Sentensi hiyo haina ubishi. Huyo ni mama yake Zitto, hata Zitto mwenyewe amekiri hivyo, ingawa wakati mwingine anajulikana kama Mama Lulu au Mama Salum)
"Amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wakiwa na silaha za moto." (Kama alivamiwa, inawezekana kweli ni majambazi. Lakini habari inatuambia walikuwa na bastola. Hakuna silaha nyingine iliyotajwa. Lakini ili kutia chumvi, mwandishi anasema walikuwa na "silaha za moto.")
kwa hiyo mkuu unataka kukanusha kuwa tukio hilo si la kweli?