Mama yake Zitto avamiwa

Niyaonayo katika utunzi wa gazeti la MTANZANIA la leo

"SHIDA Salum, mama mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe." (Sentensi hiyo haina ubishi. Huyo ni mama yake Zitto, hata Zitto mwenyewe amekiri hivyo, ingawa wakati mwingine anajulikana kama Mama Lulu au Mama Salum)

"Amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wakiwa na silaha za moto." (Kama alivamiwa, inawezekana kweli ni majambazi. Lakini habari inatuambia walikuwa na bastola. Hakuna silaha nyingine iliyotajwa. Lakini ili kutia chumvi, mwandishi anasema walikuwa na "silaha za moto.")

kwa hiyo mkuu unataka kukanusha kuwa tukio hilo si la kweli?
 
Wewe ni nani??? kwenda huko!!!!Mnatishia watu wasiseme maovu yenu!!!!
Wewe
lazima uko kundi moja na Barcelona katika kuandaa mkakati wa kumteka huyu mama wa watu. BARCELONA kajiunga. jF leo hii na mahsusi kwa ajili ya tukio hili la kumteka MAma Zitto. Hivi HUyu Zoka anayetajwa hmu siyo yule aliyetajwa na gazeti la mwanahalisi kuwa ni rafiki wa karibu na ZITTO? Halafu leo anakwenda kumteka Mama yake? Kweli CDM mnatapatapa
 
HIvi chadema mtajaribu ku-preempty matukio mpaka lini? Na hili nalo? Jamani oneni aibu, matukio haya sasa yamezidi chukueni maamuzi mageumu ndani ya chama badala ya. Kukingia kifua mambo ambayo yako hadharani kiasi hiki

mimi sio Chadema , nimewaeleza mpango uliopo ili wachukue hatua , kama hamtaki subirini kesho mtayaona ,
 
Rai yangu kwa zito chadema wanakompeleka siko hivi mama yake angeuawa angejisikiaje make akuja hapa jf anaongea maneno mepesi eti tukio la kawaida,siku zinasonga na tupo wote atakachofanyiwa zito ndani ya chadema atajuta maisha yake yote sasa tumejua kuwa hizi ni harakati za kugombea vyeo ndani ya cdm hasa uenyekiti sasa kazi kwa zito.
 
Yaani hawa jamaa zangu wangekuwa na bidii hii hii katika kutatua matatizo ya watanzania aisseee tungekua mbali

Mkuu, laiti kama watanzania wote wangetumia muda mwingi ipasavyo kutafuta mkate wa kila siku, wasingeibuka wapuuzi wengine kusainisha watu eti wanapinga kupanda kwa gharama za maisha
 
Wewe
lazima uko kundi moja na Barcelona katika kuandaa mkakati wa kumteka huyu mama wa watu. BARCELONA kajiunga. jF leo hii na mahsusi kwa ajili ya tukio hili la kumteka MAma Zitto. Hivi HUyu Zoka anayetajwa hmu siyo yule aliyetajwa na gazeti la mwanahalisi kuwa ni rafiki wa karibu na ZITTO? Halafu leo anakwenda kumteka Mama yake? Kweli CDM mnatapatapa

lengo la stori hii ni kumkamata Sabula Hemed ambaye aliwarekodi wakina Mwanga hoteli ya Sea Cliff .....jikumbusheni tamko la bobezi Marando ....over
 
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa CHADEMA atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.

Huyu kada wa chadema alikuwa amevaa kitambulisho? Kama aliweza kutambua kwamba ni kada wa chadema, je hao wenzake ni wa chama gani?
 
Wewe mnafiki mkubwa mpango wenu umeumbuka ndo umetumwa kuja kuhadaa uma jf kunawatu wanaakili na wanachambua mambo ukitaka kujua kuwa unatumia uelewa wa kawaida sana wewe umejiunga leo jf na hiyo ndiyo post yako ya kawanza halafu unasema eti ubebaini kitu acha habari za kuzua mnapanga kumteka mama wa watu then unatumwa kuja kudanganya hapa.
 
lengo la stori hii ni kumkamata Sabula Hemed ambaye aliwarekodi wakina Mwanga hoteli ya Sea Cliff .....jikumbusheni tamko la bobezi Marando ....over

kwa hiyo polisi wakitaka kumkamata mtu mpaka wachape story gazetini?mburula wewe
 
Wewe
lazima uko kundi moja na Barcelona katika kuandaa mkakati wa kumteka huyu mama wa watu. BARCELONA kajiunga. jF leo hii na mahsusi kwa ajili ya tukio hili la kumteka MAma Zitto. Hivi HUyu Zoka anayetajwa hmu siyo yule aliyetajwa na gazeti la mwanahalisi kuwa ni rafiki wa karibu na ZITTO? Halafu leo anakwenda kumteka Mama yake? Kweli CDM mnatapatapa
Ndiyo ili waisingizie CHADEMA "kama kawa"
 
Wewe mnafiki mkubwa mpango wenu umeumbuka ndo umetumwa kuja kuhadaa uma jf kunawatu wanaakili na wanachambua mambo ukitaka kujua kuwa unatumia uelewa wa kawaida sana wewe umejiunga leo jf na hiyo ndiyo post yako ya kawanza halafu unasema eti ubebaini kitu acha habari za kuzua mnapanga kumteka mama wa watu then unatumwa kuja kudanganya hapa.

shida mnahukumu mleta habari badala ya kuihukumu habari yenyewe.........huu ni mchezo wa kuwakamata vijana wa Chadema waliowarekodi wakina Sinbard Mwanga katika harakati za kutunga ushahidi kesi ya Lwakatare , wait you shall see....
 
Mama yake hawezi kuuwawa kwasababu yy na mwanaye mchezo mzima anaujua.

hapana. si unakumbuka yale maneno ya zitto, atakayeniua mimi basi nyumbani kwake hata mjusi hatabakia. wale jamaa walioenda kumteka mama yake walipotafakari tu uzito wa yale maneno ndo maana wakatoka nduki, maana walijiuliza kama mtoto zitto alisema vile, je mama yake hali itakuwaje?
 
shida mnahukumu mleta habari badala ya kuihukumu habari yenyewe.........huu ni mchezo wa kuwakamata vijana wa Chadema waliowarekodi wakina Sinbard Mwanga katika harakati za kutunga ushahidi kesi ya Lwakatare , wait you shall see....

je lwakatare aliyekamatwa pamoja na ludovick na evodius walimrekodi nani?
 
kwa hiyo mkuu unataka kukanusha kuwa tukio hilo si la kweli?
Mkuu sasa hivi wanatumia mtindo wa tekeleza then preempty. Wanatekeleza mission zao then wanakombilia kisema vyombo vya dola vinahusika huku wakiwataja watu watakaokamatwa , wanawajuaje kama siyo wao wenyewe?
 
siku hizi ndio mtindo , umesahau ya you tube na Lwakatare?

lakini story ya mtanzania imetokana na tukio la kuvamiwa kwa mama yake zitto. na mama yake zitto ndo kasema kuwa sabula anahusika na kuvamiwa kwake
 
Mkuu sasa hivi wanatumia mtindo wa tekeleza then preempty. Wanatekeleza mission zao then wanakombilia kisema vyombo vya dola vinahusika huku wakiwataja watu watakaokamatwa , wanawajuaje kama siyo wao wenyewe?

damu ya chacha wangwe inawalilia mkuu. mwaka huu wataaibika sana
 
Back
Top Bottom