Mama yake Blandina Nyoni Afariki Dunia!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Ningeiweka kulee kwenye Jukwaa lilee lakini ingekuwa ni balaa!!

Mama mzazi wa Blandina Nyoni Katibu Mkuu Wizara ya Afya (maana hajafukuzwa wala mwingine hajateuliwa) Amefariki dunia jana saa moja usiku akiwa kwenye Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kwao Ilembula wilaya teule ya Wanging'ombe.
 
Mgomo wa madaktari in its advanced stage.....anyway r.i.p mama
 
Back
Top Bottom