Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mwanamke asiye na busara anapotema sumu means kauli chafu kwa mume kama huna kizuio ukaruhusu Yale maneno machafu yaingie moyoni mwako umekwisha.Yeye akitema sumu kwake ujiona ni nafuu madhara ni kwa anaetemewa sumu.
Madhara ya sumu ya mwanamke
1.Riziki kupotea kabisa nyumbani, malaika akai kabisa kwenye kelele
2.Ndo chanzo cha kupungua kwa nguvu za kiume.
3.wanaume kuwa walevi
4.magonjwa ya moyo, kupooza,pressure nk sababu ya sonona au sikitiko
5.Wanaume kuzikimbia nyumba zao.
6.Upunguza uondoa upendo kabisa
7.Vurugu na magomvi yasiyoisha.
Hata biblia inasema ni bora uishi pekee yako jangwani kuliko kuishi na mwanamke mkorofi.
All in all ukimpata mtu wa nyota yako umepata dhahabu.
Ndoo ivyo mkuu unaweza mpata mtu wa nyota lakini mkolofi sana hapo inakuaje
 
Mimi huyu mama watoto nilijiapia kabisa nikisikia kachepuka ama nikimfumania naondoka ma sehemu zake za siri na habari inaishia hapo maana hiyo nyama ndio inawapa jeuri, basi naichana chana iwe na muonekano mbaya zaidi ila ndio hivyo kawa mwema kwangu hadi umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu
Mzee heshima yako, una drama kinoma mzee!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Pesa uleta matatizo mengi Sana kwenye ndoa ikipungua au ikiongezeka.
Filisika ujue tabia ya mkeo,subiri mume apate pesa ujue tabia yake kama alikuwa mshinda nyumbani ashindi home yupo bize,
Nguvu ya mwanaume ipo kwenye pesa kwa ulimwengu wa Sasa,ambapo thamani ya mtu ni pesa,huna pesa sahau kuhusu upendo, marafiki,undugu.
Ni watu wawili tu duniani hawatokuacha ukiwa huna pesa,ambao nao tukiwa na pesa tunawasahu,Yesu Kristo na mama yako mzazi wengine wote uvutwa kwako na kile watakachopata toka kwako.
Hujui mengi, hujawahi kuona mtu anafedheheshwa mama yake mzazi kisa hana hela? Halafu baba hujamtaja ingawa ni mgumu kumuacha mwanawe! Ni YESU pekee ndio hatokuacha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hahah,sumbawanga kuna mme kaondoka na masikio ya mke wake mke alikuwa hasiki
nyboma naona mzee wewe unataka kuondoka na k yake kabisa 😂😂

ova
Tangu lini mwanamme wa kanda ya ziwa akakubali kudhalauriwa na mwanamke, huoni polepole alivyo na msimamo ule ndio ukanda wa ziwa wenyewe sio mwanamme mzima unalialia kama mgogo Ndugai tena kwa mwanamke.
 
Tangu lini mwanamme wa kanda ya ziwa akakubali kudhauriwa na mwanamke, huoni polepole alivyo na msimamo ule ndio ukanda wa ziwa sio mwanamme mzima unalialia kama mgogo Ndugai..
😂😂😂

Ova
 
M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

Ni Mara mia, Kuzalisha uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tuliyonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

Achana na minyama minyama hiyo ,mihips, mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama, mihips.

Noted sana mkuu
 
Achenu ujinga nani kasema ndoa ai minyama au mihips? Yaani wee unaoa mwanamke kisa tuu ana mcha mungu?

Lazima uoe mwanamke ambaye nafsi yako inafurahi. Wee kama wapenda matiti oa mwenye matiti kama wapenda mwanamke tako tako oa mwanamke tako lenge bonge la vibration.

Muhimu ni kutambua kuwa unaoa mwanadamu ambaye sio mkamilifu na kugongewa kunaweza kutokea eapecially kwa wanawake hawa ambao tunaoa brekk ya kwanza mbupuz
 
Kama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.

Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.

Huyooooooo...Yann malumbano ?? Akili yake.... Papuchi yake

Wewe ukiletewaa, Vaa ndomu pigaaa pigaaa, arudi kwake , siku isonge.

Mausenge sengee ,ohoooo Baby siwez ishi bila wewe..ohoooo baby wee ni Moyo wangu, ohoooo baby weee nikila kitu kwangu ...mamaeeee zako.

Unayempenda, naye anampenda mwingine, mwingine naye anampenda mwingine ,naye ana mwingine.

Hahahaaa daah mwanangu kula bia nitalipia kwa imanitu.
Mapenzi ya kishamba shamba ndio yanawakost wengi sana.
 
Tangu lini mwanamme wa kanda ya ziwa akakubali kudhalauriwa na mwanamke, huoni polepole alivyo na msimamo ule ndio ukanda wa ziwa wenyewe sio mwanamme mzima unalialia kama mgogo Ndugai tena kwa mwanamke.
Kama mwanamke ndio kashikilia ufunguo wako je.Wakimama tunawapet peti Ili mambo yetu yaende si unajua bila kuwasifia kuwapamba awatoi.
 
M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

Ni Mara mia, Kuzalisha uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tuliyonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

Achana na minyama minyama hiyo ,mihips, mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama, mihips.
Carlos Tha Jackal..wewe ni Great thinker hatari sana wa kubomoa mbongo za watu !!
 
Naam naaam Mkuu, Wanawake tuliumbiwa sisi wanaume.

Sisi wanaume ndio wamiliki wa wanawake.

Ni watumwa Wetu hao.

Ndio maana Joyce Kiria alikua anatunanga weeeee ,nakujiona Feminist, lkn unaona mwisho wasiku kaingia penzin upya, kwa sababu ASINGEWEZA KUISHI BILA MWANAUME kwa umri wake.

Sasa sisi wanaume tufanyeje ???

Kwa kua mpira uko kwetu, na mabadiliko ya mazingira na maisha ,yewabadilisha wao pia..... Hatupaswi kuacha kuwashughulikia.

Kwa sasa tuwashughulikie tukiwa na Akili kichwani, Tusiwape Moyo wala nn.

Muishi kama vile kesho atasepa....USIWEKEZE MOYO. USIWEKEZE AKILI, USIWEKEZE NGUVU, USIWEKEZE PESA,..KWA UFUPI USIFANYE UWEKEZAJI UNAOJUA ,SIKU AKISEPA, UTAKUFWAAA

Alafu kama umegundua Kitu.... WANAWAKE SIKU HIZI NAO WANATAGETI ZAO, YAAN NAWAO SAIZI WANAINGIA KIMAHESABU MNOOO,... HUMJALI . NO FREE PAPUCHI.

Kama anakuelewa ,anakuelewa tu na atajua hapa Mwamba Niko naye kuchapana miti tuu .... Akikubali Poa....asipokubali Poa.

Kwan Utakufa???? Mpaka uanze kuhangaika wee kumvuta. Utumie pesa, nguvu,Moyo,akili..kumshawishi awe wako.... ...unategemea siku ukijua, anakusaliti utafanyaje ????.

UNAPOKUTANA NA DEMU, ASSUME KUA ANA BWANA AU MABWANA ZAKE... IVO USIJIPE USIPESHOO SANA KWENYE MAISHA YAKE.

HAMNA MWANAMKE SINGO.!!.
well said
 
Back
Top Bottom