Mama Samia Suluhu amezindua mpango wa 3 wa mapambano dhidi ya rushwa

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,654
Makamo wa rais Mama Samia Suluhu amezindua mpango wa 3 wa mapambano dhidi ya rushwa na kuahidi kuwa serikali itasimamia utawala bora.

Je, mpango wa kwanza na wa pili umefanikiwa wa asilimia ngapi?
 
Sijui lolote kuhusu huo mpango wa kwanza wala wa pili. My opinion serikali inaonyesha inajitahidi (kwa ujumla wake) kupambana na rushwa. Hili linaonekana wazi japo bado safari ndefu kama tambarare ya Serengeti.
 
Mi nimeusikia leo kumbe upo part three.
 
Back
Top Bottom