Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
 
Wewe ulishawahi kufanya biashara ???
 
mkuu umetiririka vema. je umeshawahi kufanya biashara hata ya kijigenge tu?
 
Ushauri wangu tu kwako tafuta juice safi ya ndimu unywe utulize hasira.

Samia Suluhu Hassan ndo Rais wa JMT utake usitake na so far kwenye yote amefanya vizuri Kwa asilimia 99.9.

Simple!
Anzisha biashara ili ulipe kodi!
Unashindwa nini?
Tatizo kuna watanzania wenye akili finyu wanadeka na kufikiri kuna watu wa kuwapatiia hela ya bure.
 
Ukifanya ubabe Wafanyabiashara au Wawekezaji si wanafunga wanahamia Nchi zingine ambazo zina mazingira ya kuvutia.

Na kwa taarifa yako, Nchi hizo zipo nyingi sana.

Tumekaa hapa kwa ubabe ubabe wa kishamba matokeo yake mzunguko wa pesa HAKUNA! Kila mtu analia 'vyuma vimekaza'!.

Kwanza mliwahi kuona wapi wasukuma wakajua biashara!? Nchi tuliiweka kwenye mikono ya hovyo sana na ndio maana kila kitu kiliharibika.

Mama Mjanja anajua afanye nini ili pesa irudi kwenye mzunguko kama ilivyokuwa awali.
 
Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.

Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
 
Anachofanya rais ni kurudisha biashara kwanza,mambo ya kibabe kubambikiana kesi, kudhurumiana,siyo msingi wa knachotakiwa RAIS ataweza mbona JK,MWINYI,KIKWETE na MAGU waliweza tusiweke hofu isiyo na msingi ninaaamini kila kitu kitakua sawa ....kama sijui wala rushwa hata MAGUFULI wenyewe walimshinda si unesikia watu walikua wanakula hela ya vikao,madini yalitoroshwa na hiyo mudege full hasara....SAMIA atafanya kiasi chake atapita na atakuja mwingine tuache HOFU.
 
Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.

Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?

Usionyeshe hadharani kile usichojua maana kama uko serious , hapa kazi tu ni pamoja na ninyi wapiga debe kuanxisha biashara ili zipigwe kodi unayoililia.

Lakini nye walalia maneno msio na kitu kichwani heri mkalime tu kuliko kujazana mijini.
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Hata hujui unaongea nini...
Nchi gani ulaya una file hizo returns unaposema halaf baada ya 2,3 yrs wanaibuka na kusema lipa more zile za wakati ule hukuwa umepewa makadirio halisi ?

Wapi unafuatwa na mabunduki au funguliwa kesi za uhujumu lkn wanakupa option lipa kiasi yaishe ???

Huyu hataki sifa, wala dhulma. Anataka kodi halali na kuongeza tax base.
Msikilize hata Mwinyi zanzibar, huo ndo uchumi na principles zake sio hizo sera za kishamba na hazipo ktk economic principles...
 
Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.

Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Kaangalie kampuni za Marekani zilizohamia China kwa makosa ya kuongeza Corporate Taxes.

Sera za Republican (chama cha siasa kimojawapo nchini Marekani) mara zote wamekuwa wakijikita kwenye kupunguza kodi ili kuvutia Enterprises za Wamarekani zilizotimkia China kurudi Marekani. Ilifika kipindi mpaka Trump akawa ana advertirse kuwa anapenda kuona bidhaa nyingi zikiandikwa "Made in America".

Huna exposure hujui vitu halafu unakuja kutapika ukilaza wako hapa!!!
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kwa sasa hayatashuka kwa sabab tayar wameshakadiriwa mapato ya mwaka mzima. Labda biashara mpya ndizo zenye nafasi ya negotiation.

Naona anafuata msimamo wa kakake Mwinyi. Msimamo wa mwinyi ni kukusanya kodi kidogo kidogo kwa watu wengi wakati mwendazake hakuamini hilo na matokeo biashara zenye mitaji ya kuungaunga zimekufa sana.
 
Back
Top Bottom