Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Swali la ziada kwa mama: Kwa nini uhusiano wake na Rose Mhando ulibomoka?
 
Kwa vile amefanya promo mjengoni, basi tutampa air time ya kutosha.
Kwanza atueleze shetani alipoweka nyaraka zake. Pili, uadilifu wa kiroho wa kununua kiwanda cha Mang'ula na je hakutoa kitu maana inaonekana kuna mkono wa shetani vile.
Hivi bado tu hajanyang'anywa Mang'ula Machine Tools kwa kuwa alitakiw awekeze kwenye line ya shughuli ambazo kiwanda kilikuwa kinafanya yeye akageuza kuwa shule. Alivinja masharti ya ununuzi.
 
Ni mshirikina na alikuwa muumini mzuri tu wa marehemu shekhe Yahaya na ndiko walipokutana na kufahamiana na ****** nakuwa starting journey ya huo u mp wa viti maalumu,nitapeli wa viwanja vya wanyonge,na anapepo wa ngono ajabu kiasi kwamba alisha wahi mbaka dereva wake
 
Nyongeza kwenye Hadidu za Rejea

Shule anazoziendesha: Alizianzishaje, anaziendeshaje na sababu za kuziita St. Maries.
 
Ni mpakwa mafuta wa Bwana ambaye kupitia yeye wengi waliokuwa na matatizo ya kiroho walifunguliwa

Angekuwa kweli anaponya angemponya mwanae wa kiume aache pombe, mlevi mbwaaa.. miaka 4 iliyopita ilibaki kidogo aliwe ndogo0 coz ulevi . ashukuru rafiki yangu kumnusuru.
 
Huyo Mama Lwakatare" Mchungaji " lazima afanye hivyo. Yeye kapewa kiwanda cha Mang'ula, mimi sijafika kiwandani hapo ila naambiwa mitambo yake alingo'a na kuuza India kama chuma chakavu. Yeye ni sehemu ya genge la wale wasiopenda maendeleo ya Tanzania
 
Kwanza huyu mchoyo, mlafi, mlevi wa madaraka anawakilisha kundi gani? Anaonekana ni masikini fulani mara mchungaji, mmliki wa investment mbalimbali, lkn bado haridhiki, ni rahisi kumfikiria km ni puppet tu.

Anawakilisha wamiliki, usikute ni FM! Afunge JF siku hz? Amepotea, anahitaji kujitafakari upya, JF wapo pia wanamagamba wengi nao wanatoa jumbe zao, hajiheshimu huyu, hana ht aibu!
 
Namtakia kila la heri katika jitihada zake za kuendelea kutesa na...free milk...why should she keep cow??

Anyway..nothing is free...She is now raising a calf!!
 
Hata hivyo nimefarijika kugundua kwamba huyu mama anao uwezo wa kusoma kutumia internet! Maana mhhhh! Hawa waheshimiwa wetu hawa mbona kazi tunayo!
 
Duh! Kwa haya mambo yote,wenye kuyafahamu mlikua wapi?!

Kumbe huyu mtu hafai hata kua usher kanisani! Ingawa tunaambiwa si vyema kumhukumu mwanadamu mwenzako,kwa hili nasema huyu mwanamke ni mchafu sana.

Ila nimesikitika kwamba uchafu wake haukua ukijulikana vya kutosha. Pengine ingesaidia kuepusha ndugu na marafiki zetu kwenda kutapeliwa kwa ahadi za kimwili!
 
Back
Top Bottom