Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

JF NA UKOSOAJI MCHUNGU ULIOTUKUKA: RAIS KIKWETE SASA APATA DIRA MPYA KUTUPUNGUZIA MZIGO WA SAFARI ZA NJE WALIPAKODI WA TANZANIA KUFUATIA MICHARAZO BILA HURUMA YA MTANDAO HUU

MhRais Kkikwete,

Nakushukuru sana katika hili la kusoma sehemu ya ukosoaji wetu hapa JF na hatimaye kuona mantiki ya kupunguza idadi ya watu unaosafiri nao kwenda nchi za nje.

Hadi hapa naomba naye mama yetu, Mchungaji Mama Lwakatare, aliyekaririwa majuzi kutamani kuona mtandao wetu huu wa JF ikifungwa atambue kwamba hata na sisi huku TUNAFAIDI KWA WATANZANIA tena kuliko hata uwakilishi wao bungeni huku sisi tukiwa hatulipwi mshahara na mtu yeyote wala hizo posho wanazozigombania hivi sasa huko mjengoni Domz.

Nasema mama yetu huyu naye sasa aone jinsi gani Rais Kikwete anavyotumia mtandao huu wa JF kurekebisha mambo hata kule ndani mwake Magogoni.

Ni majuzi tu hapa tumemtifua kweli kweli RaisKikwete juu ya safari zake nje ya nchi na tukahoji tupewe mchanganuo wa faida na tija tulizozipata kutokana na safari zake hizo tangu aingie madarakani ikilinganishwa na thamani ya gharama tulizozitumia kama walipa kodi kufadhili safari hizo.

Isitoshe, tulikwenda mbali kidogo kwa kutahadharisha ya kwamba walipakodi wa nchi hii tusije tukajikuta
tukifika mahali sawa na KUUZA ZIZI ZIMA LA NG'OMBE WETU WA PEKEE KUTUMIKA KUFADHILI SAFARI ZA RAIS NA JOPO LAKE KUBWA AMBALO MWISHO WA SIKU TUNAJIKUTA IKITULETEA FAIDA YENYE THAMANI YA YAI LA KUKU. This was a very candid and bitter criticism on President Kikwete BUT with a bottomline of AGGITATING FOR A CHANGE FOR THE BETTER.

Hadi hapa nimefarijika kugundua kwamba kumbe Mkulu hata ulivyo huko Davos kumbe bado uliweza kujipatia japo kijinafasi (kama mwana JF mwenzetu Prof Mwandosia alipokua matibabuni India) walau kuchungulia humu na kukutana na jinsi nilivyokukosoa kwa HASIRA ZOTE na wala haujachukulia chuki badala yake umeamua kuchukua hatua kurekebisha mambo.

Kimsingi Rais wetu, kama ulikua hujui, ujue leo kwamba hatufurahishwi hata chembe na uvujishaji wa kodi zetu bila kutuletea tija ya kuonekana. Madaktari wanatiji kubwa kwetu; kawaboreshee malipo yao, wabunge hasa wa CCM ni mzigo kwetu kwa tabia yao ya kugeuka muhuri wako kupitisha kila uchafu serikalini; kawapokonye posho zote, rekebisha mfumo wa mishahara na marupurupu kitaifa kuleta uwiano na kulinda morali ya watumishi wetu wa serikali

Jamii isiokua na kundi lenye kujenga mawazo tofauti yenye kukosoa kwa nia ya kujinga ni sawa na jamii iliokufa. Mimi ni mwananchi wako mkereka na mambo mengi ya hovyo pamoja na ufisadi serikalini na mkosoaji wako mwaminifui nisiyekuonea haya hata kidogo katia jambo lolote lile lenye kubeba MASLAHI MAPANA YA UMMA.

Hivyo, katika hatua yako hii ya kuwazia kutupunguzia mzigo wa safri za nje, nasema asante kwa kupokea ukosoaji wangu mchungu sana na kuligeuza kuwa ni sehemu ya ratiba yako kuturekebishia mambo.

Endelea kutarajia mashambulizi zaidi kwako na kwa serikali yako toka kwangu endapo kuna mahala mambo wala si mambo, na ninakutakia safari njema nyumbani uje ukamalize ubishi wa posho za wabunge kwa kuendana na matarajio ya umma na ukawalipe zaidi madaktari wetu.

Mwananchi Wako,



UWEZO TUNAO
Mkuu UWEZO TUNAO anahamisha mada nini, unajaribu kuzima huu moto, mbona ungeanzisha thread ya hii habari ingekuwa poa tuu??????
 
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.

Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.


Inaelekea moto wa JF unaendelea kubabua vigogo; jambo la msingi ni wanaJamvi kuzidi kuchochea kuni za uhakika!!!
Big up JF!!!!
 
Msahafu unatuambia "YA KAISARI MPENI KAISARI NA YA MUNGU MPENI MUNGU". Huyu mama ukweli hana hoja ya msingi bungeni kutetea wananchi. Ndio ubovu wa ubunge wa KUTEULIWA.
 
Haya sasa, mimi siongezei wala kupunguza neno hapo mama yetu.

Labda kwa swali nyepesi tu; hivi mwaka huu ulibahatika kweli kupata japo ka fungu la senene na mwani kutoka kule maana kwako wewe najua rubisi haipandi hata kidogo ila tu divai ya mwaka '47 toka Bavaria kule Ujerumani?

Kama kweli hauna nyezo hizi pamoja na vile vimbegu mbegu vya Almonds, mmmhhh mama yetu mbona huruma?????




Mama Mch Rwakatare kwa nini unapomualika muimbaji kanisani watu wakienda kumtuza hela zinachukuliwa na kupelekwa ndani? badala ya kumpa mwimbaji mwenyewe hela zake? hata kama mlishamlipa bado ile ni bahati yake unavyofanya si haki,kumbuka wewe ni Mchungaji.
 
Hapana mkuu,

ni huyu mama ndio kanichanganya na mistari yake juu ya JF katikati ya misa mpasa sasa naona kama vile kanipunguzia kiasi fulani cha kuwaamini wabunge wa viti maalum nchini na aina ya kazi mahususi wanaotufanyia walipakodi huko bungeni kuhalalisha ustahili wa malipo tunayowapa.

Bure kabisa hawa na wala hawana lolote mjengoni kazi kupiga mbonji ya nguvu sana tu mjengoni na WaTanzaniakumlipa kwa kazi ngumu sana hiyo.

Naam, haya ndio maisha yao hawa WAISHI MIWA huko bungeni; akitoka tu nje ya bunge kazi yeye kukimbilia ofisi ya Kashillila kwenda kuvuta posho kama anasinzia vile na kuanza kusapa kwenda kula pale Cafetaria ya pala bungeni tani na tani, vinono kwa vinono kana kwamba wanakomoa chakula.

Basi ni kero tuuuuu, taabu tuuuuu!!


Mkuu UWEZO TUNAO anahamisha mada nini, unajaribu kuzima huu moto, mbona ungeanzisha thread ya hii habari ingekuwa poa tuu??????
 
Nijuavyo mimi sura zakutisha na maumbo ya ajabuajabu kama Dr Lwakatare huwakilisha uhalisia wa shetani jinsi alivyo wa kutisha,sasa na shangaa huyu mwenye jisura la kutisha naye anajiita mchungaji??!!!shem on her ni shetani huyu
 
Hapana mkuu,

ni huyu mama ndio kanichanganya na mistari yake juu ya JF katikati ya misa mpasa sasa naona kama vile kanipunguzia kiasi fulani cha kuwaamini wabunge wa viti maalum nchini na aina ya kazi mahususi wanaotufanyia walipakodi huko bungeni kuhalalisha ustahili wa malipo tunayowapa.

Bure kabisa hawa na wala hawana lolote mjengoni kazi kupiga mbonji ya nguvu sana tu mjengoni na WaTanzaniakumlipa kwa kazi ngumu sana hiyo.

Naam, haya ndio maisha yao hawa WAISHI MIWA huko bungeni; akitoka tu nje ya bunge kazi yeye kukimbilia ofisi ya Kashillila kwenda kuvuta posho kama anasinzia vile na kuanza kusapa kwenda kula pale Cafetaria ya pala bungeni tani na tani, vinono kwa vinono kana kwamba wanakomoa chakula.

Basi ni kero tuuuuu, taabu tuuuuu!!
Hooo sasa nimekuelewa kama yuko hapa JF muda huu amepata darasa,atajua watu wanamfikiria vipi!!!!!!!!!

 
Hebu ngoja kidogo hadi hapo Mkuu Ng'wana Sweke, wataalam wetu wa tiba hapo Muhimbili hivi kweli huyu Mama Lwakatare hana uhusiano wowote wa kibaolojia (DNA) na mpendwa wetu marehemu Dokta Remmy Ongala? Mbona wanafanana sana sana sura hadi sauti?

Nijuavyo mimi sura zakutisha na maumbo ya ajabuajabu kama Dr Lwakatare huwakilisha uhalisia wa shetani jinsi alivyo wa kutisha,sasa na shangaa huyu mwenye jisura la kutisha naye anajiita mchungaji??!!!shem on her ni shetani huyu
 
Duh nilikuwa nai under rate JF kumbe inawagusa watu wengi. Fikiria mama Lwakatare na mlima wake wa moto pamoja na maneno yake yale ya mbayaaaaa bado anapata wasaa wa kuingia JF? JF songa mbele huu ndio mtambo wa kurekebisha tabia!
 
hivi huyu mama hakuna anayemfahamu vyema? maana anafaa aanikwe hata kabla sisi hatujafungiwa na ni vyema atwambie ni wapi kwenye bible anayoamini pameandikwa watu wasiwasiliane? au kupeana habari ambazo wengine zinzwachoma ht kama ni za kweli?
 
kwa kweli namchukia huyu mama mungu anisamehe eti anaita visima visimi! ovyooooo
 
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.

Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.


The tongue is not steel yet it cuts. IDUMU JAMIIFORUMS DAIMA.
 
Nimeamini kuna wakati wana JF wanakuwa kitu kimoja!
Huyu mama mchungaji kama kayasema hayo basi kuna nyuzi zimemgusa humu. Hawa wana siasa wasiokubali kupokea "criticism" walikuwa hawafai kabisa kuwa wana siasa. Anafikiri JF ni kanisani kwake humu, kila atakalo sema watu watamchekelea tu.

Hawa ndio wale wanaoingia siasa kwa sifa na pesa zao na si kwa kuwa ni wana siasa. Mie alivyoingia nikajuwa anhaa sasa, tumepata msemaji ambae atakwenda mjengoni kufanya mambo, kumbe si lolote si chochote. Waondoe tu hivi viti vya kupeana.
 
KUTOKA KWENYE MGOMO WA MADAKTARI..........HADI KWENYE JF?kWELI tunawabunge au picha
 
ndugu zangu kulingana na mapambano ya wazi alioanzisha,alioanzisha kikongwe ambaye pia ni mla kodi yetu ya 330,0000 bila kazi ya msingi kila siku ndani ya bunge ama kwa kujituma mwenyewe ama kwa matakwa ya waliomtuma ambao sina shaka kuwa ni mafisadi! nalazimika kuwaomba WANAJF mlio na wasifu wake na wanaofahamu ni vipi amechangia matatizo kwa nchi hii wamuwekeee hapa nina imani atapata kuingia hapa ajue pia tulimfumbia macho kwa muda sana,
hadidu za rejea ziwe na vipengele hivi
1,HISTORIA YA UTAKATIFU WAKE KAMA ANA
VYOJIPAMBANUA
2,NI KWA NINI NI MWANACHAMA WA CCM?
3WAUMINI WAKE AMBAO PIA HAWAIPENDI JF
4ANAMILIKI UKWASI KIASI GANI?
5ANAENDANA NA MAISHA HALISI YA MTANZANIA NA MCHUNGAJI?
HADIDU ZA REJEA ZAWEZA KUONGEZWA NA WASOMAJI
 
Back
Top Bottom