Mama Pretty nimezama penzini

Jamani hamjambo?

Love is a beautiful thing
Mama pretty nimezama penzini.. baby wangu upo humu .. I love you so much๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
Mapenzi ni utapeli. Ukishalijua hilo usijifie mbele za watu. Kuna mwanamke km wewe alikuwa ananiambia ananipenda sana ila sasa aninichukia sana na kaniweka blacklist. Km ulinipenda kwanini unichukie? Unanikumbusha ndoa ya Dullah makabila na Zai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom