Mama Ndalichako tunaomba mabadiliko haya ya mtaala wa somo la kiingereza A-level

A level yote tumesoma Phonology and morphology in paper 1 nilishkuru kuambiwa syntax haimo mziki mnene
Lakin ndo uti Wa mgongo Wa lugha yoyote dunian. Na syntax haikuletwa ili kumfelisha mwanafunzi Bali ilikuwepo ili kujenga umahili(competence) na umilisi(performance) kwa mwanafunzi. Kama unavyojua phonology deals with speech sound of given language, kwa maana hio we umepeleza kitu ktk lugha . ndo maana tunaendelea kuazima wataalam kutoka nje. Syntax, semantics, morphology and phonology are versatile to us
 
Thats right lkn wanatakiwa kupanga hili somo linasomeshwa vp ukiangalia km syntax nikubwa klk literature huwez kuimlza kwa miaka miwil ukiangalia kuna topics nyingi zimejaa uwanja mpana
 
Mh waziri Wa elimu nakuomba sana uturudishie mada muhim sana katika somo LA kiingereza kidato cha tano na sita ,ambazo ni
1) phonology
2) syntax
3) semantics
4) morphology.
Turudishie maana ndo uti Wa mgongo Wa language
Acha kumdhalilisha, ni Pr Dr Ndalichako.
 
Back
Top Bottom