TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

vyombo vya habari vimethibitisha
IMG_1731.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kafariki jamani, wamehujumu aman ya moyo wake hadi Umauti kumpata

Hivi pale mbinguni tutajibu nini

Familia ya Erik Mpola nebyemba
Ukiishi katika nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa kutupiana mawe. Hii inatufundisha pia kuwa mchumba janga hulifaidi na nduguze. Pole sana wafiwa
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Cause and effect,bila mwanae kubambikwa asingekufa bali angeishi.
 
Pumzika kwa amani mama kabendera.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Kama utawaza kwa namna tofauti huu msiba unaweza kumfanya Eric kuwa more strong than ever.

Kuna matukio ukikutana nayo kwenye Maisha unafikia stage ya kusema to hell with this kwa maana u left no one behind.

Rest in Peace Mama Kabendera, you left your son fighting against the world.

Eric be strong no one is perfect and once they said there is Alpha means the Omega will come as well!!
 
Anashauri bila kumuagiza DPP si wakati wa kushauri huu ni wa kuagiza utekelezaji uanze kupunguza mahabusu ili tuokoe gharama za kuwahudumia kule
Ni katika namna mahakama kujiweka upande wa mkono wenye haki maana hata wao kuna wakat wanatoaga maamuz kwa shinikizo
Lakini upande wa DPP ndo wakulaumiwa kuna watu kesi zinapigwa danadana ili tu mtu asote kwanza ndio maana wengine walikiri makosa baada ya kuona wanauwezo wa kurejesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini nywele zimenisimama
Halafu pale ushahidi unakamilika kumbe Kabendera is innocent.
May her soul rest in peace.
 
Back
Top Bottom