Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 133
unalionaje hii?
- Mama mmoja baba tofauti
Kwa mfano mama anakuwa na watoto wa 5 kila mmoja na baba yake, na hakuna hata mmoja ambaye ni deceased. Wote wako hai, na mwanamama huyo anawajengea picha watoto wake wawaone baba zao ni wakatili sana ...na walitelekezwa.
- Baba mmoja mama tofauti
Baba anakuwa na watoto zaidi ya watano na kila mmoja na mama yake. Baba anawajengea picha wanawe ku-justify u-player wake kwamba wanawake walikuwa hawatulii nae na ndo maana akafanya huo mchezo.
Yote ni mambo mabaya sana kwa future ya watoto, matatizo ni sehemu ya maisha. ukishaamua kutulia na mwenzio ni kujitahidi kwa kila hali kuzuia kutengana na kuharibu maisha ya watoto wenu.
Swali:
Je, mtu yupi kati ya hao unaona anaheshimika na jamii inayomzunguka? baba mwenye watoto tofautitofauti na wanawake wengi nje?? au mama mwenye watoto na wanaume tofautitofauti?