Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Experience and time on Earth are the best teacher
 
Huwa wanatuteka tunakuwa watu wa uchagani.
Yaani unakuta wajukuu wanakujua Moshi kuliko bulongwa huko.
Haya Mambo wazazi wa mikoa hii yanawauma Sana.
Hili liko wazi na linafahamika

Dahh....umeongea kweli mkuu. Nina ushahidi kibao. Sema hii notion ya Wachagga ina ukweli flani.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mkuu usikate tamaa hawa mama zetu wanamatatizo nadhani huu kitu imenikuta mwaka huu wazazi waliniambia nitafute mwanamke wa kabila langu nikachagua kijana nikapata cha ajabu namtambulisha mama kuhusu huyo binti yaani kamwona picha tu lakini kama kataa eti anaona hafai wakati mtu hajaishi nae hata siku tatu yaani kuongea naye kwenye simu tu na kumwona picha ndio amkatae nilichukia mnooo ila nikaamuwa kuwa iwe isiwe namuoa huyo binti kama hawataki na kuoa ni mwisho nitazalisha tu mtaani basi tusipangiane hivyo mkuuu hiyo inategemea na akili ya huyo mwanaume hawa mama zetu sisi wanaume wote kama wanafanana akili tu
 
Kuna mambo huwa hayalazishwi. Mama na mtoto wana bound ya milele. Mchumba akitenda kinyume na matakwa ya mama ndoa yenu itakua na changamoto nyingi za upumuaji.

Ni afadhali mpate aibu ya kutolewa mahari na kutoolewa kuliko kuishi kwenye ndoa isiyo na amani. Ingekua uko kwenye ligue na mwanamke mwingine ningekishauri usife moyo lakini ligue na mzaa chema ni ngumu sana.
Kama wanapendana kijana akaze kumuacha mtu unaempenda kwasababu ya mama pia ni changamoto aisee!!!! Hapo nashauri mtarajiwa usikate tamaa na uyo men nae awe na msimamo mbona mama ataelewa tuu.... Ila and of time mtaishi maisha yenu peke enu wala sio na mama mkwe so dada papambania ndoa yako aisee....!!! Uyo maza mkwe we kuwa mpole ukishaolewa muonyeshe wewe niwa namna gani yani mprove wrong usituangushe kaka zako tupo pamoja na wewe!!!!
 
Kusema kweli mikoa ya Mbeya na Iringa kwenu ukisema unaoa uchagani hakuna anayekuelewa.....sijui wachaga waliwafanya nini wazee wetu, nimeishi mikoa yote, wazee wengi wamewasusia watoto wao Proposal za kuoa uchagani
Siyo hiyo mikoa tu , hata mikoa mingine, wachaga huwa mara nyingi wanaishi kama wenzetu wa uko majuu , ni wewe na mke wako tu na watoto, ukipata pesa kujenga kwanza kwao ukweni watakupa kiwanja bure kabisa, ukipata pesa nyingi zaidi Kama wewe ni mufanyabiashara siku zako za kuishi huwa chache, ukiwa na wadhifa furani serikalini au kampuni kubwa kubwa hapo utaishi mpaka miaka 60, ukisitaafu siku zako za hapa duniani zinakuwa fupi. Hata mwanaume w kichaga akioa nje ya uchagani yule mke na watoto wanakuwa kama second citzen uko uchagani treatment inakuwa tofauti kiasi na kurithi mali huwa ngumu sana kama siyo mtoto wa Mama mchaga. Ni Very challenging Sana. Angalia viongozi wengi wakubwa waliyooawa wachaga ukienda kwao unashika kichwa, lakini kwao mke au wanakoishi Kama paradise.
 
Acha tu ndugu yangu nikikumbuka siku ya mahari wazazi wangu walivyofurahi ulikuja ukoo mzma hapa wanasubiri tu ndoa nahisi kudata huyu mama Hana huruma hata kidogo basi awafikirie hata wazazi wangu nawaza ndugu wote wale tutawaambiaje natamani hata nife

1. Mumeo anakupenda, YES
2. Baba Mkwe anasemaje? au yuko na mkewe?
3.Kama baba mkwe anataka mwanane akuwowe, hakikisheni huyo mama anaongea na wazee (Hili swala baba na mwanae wanaweza lisimamia)
4. Ikishindikana fungeni ndoa, muombeni Mungu, kikubwa wewe ondoa chuki na mama mkwe, hakikisha unamheshimu maisha yote. Ukimletea dhereu au chuki mwanae atakutosa tu.
 
Pole bestie ndoa isiyo na baraka za wazazi huwa ngumu japo si baraka zote ni baraka,sali funga nakuhakikishia majibu utayapata na kama imeandikwa itatokea tu.
 
Ni kweli maana nilimwambia kuolewa bila ndugu zako ni mtihani akanijibu ina maana nilivyokutongoza ningekwambia Mimi yatima Niko peke yangu sina ndugu ungenikataa
Kama wanapendana kijana akaze kumuacha mtu unaempenda kwasababu ya mama pia ni changamoto aisee!!!! Hapo nashauri mtarajiwa usikate tamaa na uyo men nae awe na msimamo mbona mama ataelewa tuu.... Ila and of time mtaishi maisha yenu peke enu wala sio na mama mkwe so dada papambania ndoa yako aisee....!!! Uyo maza mkwe we kuwa mpole ukishaolewa muonyeshe wewe niwa namna gani yani mprove wrong usituangushe kaka zako tupo pamoja na wewe!!!!
 
Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Tulishawambia msiwe wachaga hamuelewei tu!
 
  • Kicheko
Reactions: _ID
Baba mkwe alishatangulia mbele ya haki kabaki tu mama mkwe
1. Mumeo anakupenda, YES
2. Baba Mkwe anasemaje? au yuko na mkewe?
3.Kama baba mkwe anataka mwanane akuwowe, hakikisheni huyo mama anaongea na wazee (Hili swala baba na mwanae wanaweza lisimamia)
4. Ikishindikana fungeni ndoa, muombeni Mungu, kikubwa wewe ondoa chuki na mama mkwe, hakikisha unamheshimu maisha yote. Ukimletea dhereu au chuki mwanae atakutosa tu.
 
Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Aibu ya nini sasa si ni maisha yako na furaha yako
 
Huwa wanatuteka tunakuwa watu wa uchagani.
Yaani unakuta wajukuu wanakujua Moshi kuliko bulongwa huko.
Haya Mambo wazazi wa mikoa hii yanawauma Sana.
Hili liko wazi na linafahamika

..katika familia nyingi za Kitanzania watoto huwa wako karibu zaidi na mama zao.

..wanaume wengi wa Kitanzania hatuko karibu na watoto wetu, na suala la malezi tumewaachia wake zetu.

..hata ukioa ktk kabila lako, uwezekano mkubwa ni watoto kuwa karibu zaidi na ukoo wa mama kuliko ukoo wa baba.

..hiyo ndio experience yangu kama mwanandoa wa Kitanzania.
 
Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani

Halafu mbaya zaidi Wanawake wengi, wanaume wachache......
 
Funga piga magoti omba msaada wa roho mtakatifu kwa akili yako hutaweza kupata jibu. Muombe Mungu akupe unachostahili kama ni wako atabaki kuwa wako naamini kila penye riziki hapakosi fitina. Hilo ni jaribu tu mdogo wangu pambana Manka.
 
MWANAMME HACHAGULIWI MKE NA WAZAZI WAKE!
Mtu atamwacha Baba na Mamaye naye ataambatana na mkewe! Na hao si wawili tena bali mwili mmoja! (Mwanzo2:21-24)
Kama tayari Mahari imeshatolewa mnangoja nini?

ANAYETOLEWA RUHUSA YA KUOLEWA NA WAZAZI WAKE NI MWANAMKE TU! MWANAMME HATOLEWI RUHUSA NA WAZAZI WAKE KUOA!

Taratibu za Kufunga Ndoa halali mbele za Mungu ni hizi:
1.Ndoa ni mkataba wa mwanamme na mwanamke wa kuishi pamoja kama mme na mke maisha yao yote!Ili mradi iwe ndoa ya Mme mmoja na Mke mmoja.
2.Mwanaume asiwe na mke au asiwe aliaacha mke wa kwanza (Isipokuwa kama mke alikufa) wala mwanamke asiwe mke wa mtu au asiwe aliachika kwa mmewe (isipokuwa kama mme alikufa)
3.Kuweko na makubaliano ya pande za Wazazi ya mwanamme kutoa mahari
4.Baada ya taratibu za kutoa mahari zimekamilika,Wazazi wa Mwanamke watoe ruhusa ya mwanamke kuolewa na huyo mwanamme.

Baada ya kutimizia taratibu hizo,bila kujali wawili hao watafunga ndoa ya Kanisani au Msiktini au ya kimila maadam wamefuata taratibu hizo,HIYO NDOA NI HALALI MBELE ZA MUNGU!

KUMBUKA ANAYETOLEWA RUHUSA YA KUOLEWA NA WAZAZI NI MWANAMKE TU SIYO MWANAUME
Mwanamme usiache huyu mke wa Ujana wako!
 
Pole binti, ni kipindi kigumu kwako hicho.Kiukweli hata kwetu kule nyanda za juu kusini ukiweka hoja mezani kuwa unaoa uchagani wazee wanazimia kutokana na histori.
Lakini ndoa ni kama kamari tu.Unaweza oa wa kwenu na bado akakuzingua.
Nakushauri zungumza na wazee wako kuhusu hiyo hali unayopitia na pia ni muda sasa wa kusali na kumlilia Mungu wako akuvushe katika hili.
Pole sana kwa mapito
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom