Mama Masaburi anapaswa kutoa ushahidi kwa kuwataja wabunge ambao ni mashoga

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.

Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.

Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na wabunge wenzake lkn spika haamuru mbunge huyo kutoa uthibitisho/ushahidi wa tuhuma hizo.

Mfano Masaburi amesema baadhi ya wabunge ni mashoga. Tuhuma hizi nzito za Masaburi hazikukanushwa na zimeingia kwenye kumbukumbu za bunge (Hansard). Hivi ni kweli kwamba kuna wabunge mashoga?

Tulia na wasaidizi wake walipaswa kumtaka Masaburi awataje kwa majina na ikibidi wakapimwe hospitali ili kuthibitisha. Hii ingelinda hadhi ya bunge na wabunge.

My take: Bunge lisigeuzwe kijiwe. Tunataka wabunge mashoga watajwe.
 
Nadhani anafikiria wanaolengwa ni Mdee na Bulaya na katika fikra zake finyu anafikiria kuwa anaikomoa CHADEMA.
Hapo ndipo anapokichafua chama chake CCM pasipokujua, maana chadema ishawatimua hao covid-19 siku nyingi Sana.
 
Niseme tu kwamba Lisu ana akili kubwa! Japo kuna wajinga na wapumbavu humsingizia upuuzi haya ndiyo mambo ya chumbani sasa. Aliyempiga risasi Lisu yupo wapi?
 
Niseme tu kwamba lisu ana akili kubwa! Japo kuna wajinga na wapumbavu humsingizia upuuzi haya ndiyo mambo ya chumbani sasa.
Aliyempiga risasi lisu yupo wapi?
Mambo ya chumbani, lkn Masaburi ameyaleta bungeni. Yaweza kuwa Masaburi kakumbana na mjuba aliyetaka kuruka naye ukuta
 
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.

Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.

Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na wabunge wenzake lkn spika haamuru mbunge huyo kutoa uthibitisho/ushahidi wa tuhuma hizo.

Mfano Masaburi amesema baadhi ya wabunge ni mashoga. Tuhuma hizi nzito za Masaburi hazikukanushwa na zimeingia kwenye kumbukumbu za bunge (Hansard). Hivi ni kweli kwamba kuna wabunge mashoga?

Tulia na wasaidizi wake walipaswa kumtaka Masaburi awataje kwa majina na ikibidi wakapimwe hospitali ili kuthibitisha. Hii ingelinda hadhi ya bunge na wabunge.

My take: Bunge lisigeuzwe kijiwe. Tunataka wabunge mashoga watajwe.
Alichosema ni ukweli ulio wazi ndio maana hakuna aliyemdai atoe ushahidi!! Picha kama hizi wabunge wote wanazijua, huo ni ushahidi wazi! Hawa kwenye picha ni wabunge!! Hicho wanachokifanya unakijua?

screenshot_20230413_094855_chrome-jpg.2586194
 
Back
Top Bottom