Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Kwao kila kitu ni kiki hawajui kutofautisha uhalisia na maigizo mfano harusi ya esma anzia gari mpaka kumnanga petit

Domo angekua mbali ila familia yake inamdondosha sana. Cheki wanavyoitumia wasafi media vibaya.
Wao wanadhan wanamsaidia kumbe wanamdidimiza. Au wanataka kuwa kardashians wa bongo?

Ya harusi siwezi mlaumu sababu Esma kayavaba mwenyewe kwa kupenda wanaume wenye pesa kumbe kamvaa mtoto wa mjini.

Wasafi kwangu mimi naona haitumiki vibaya,ndio maana inafanya vizuri ukitaja radio 3 zinazo sikilizwa sana lazima Wasafi kibiashara kafanikiwa SANA,kwa mikoa iliyopo na hata ukiangalia future yao inaiona ipo vizuri.

Domo hawezi kuwa mbali na familia yake,sababu ndio aliotafuta nao kuni,so sasa hivi wanaota moto pamoja na uduni wao na uswahili wao,wao ndio waliomfanya awe vile leo alivyo japokuwa kakulia maisha ya uswahili,huwezi kuwatenga walio kulea,kukuza na kufariji nyakati za shida.

Ile familia imekosa kitu kimoja privacy,hata yule mzee nae walewale kila siku yupo kwenye mikamera mwaka wa 8 sasa,watu wanapiga hela kupitia yy.
 
Kama hawakumtumia kwann anaiwa nasib abdul badala ya jina la baba yake mzazi?huoni hio kashfa ya abdul wamejitakia wenyewe.
Mzee abdul aliwasitiri ndo maana wanamtumia kama kiki

Mwambie domo abadili jina tuamini huyo sio baba yake
Jina la mtu ambae alikuwa hafahamiki linatumikaje kama kiki?! Watu walimfahamu Diamond kwa sababu alikuwa anatumia u-bin wa Abdul au kwa sababu ya kazi zake?! Mzee Abdul alianza kufahamika kwa sababu ya kuitwa Abdul au kwa sababu ya kuonekana kwamba ni baba wa Diamond?!

Maswali kama hayo yakijibiwa hata na mtoto mdogo hapo hapo atafahamu ni nani alikuwa anatafuta kiki kwa mwenzake!
 
mama anampoteza kijana wake mambo kama haya bora kukaa kimya siku akijua ukweli mond huenda ikawa vita ya tatu ya dunia mama atakuja kujilaumu sana
 
Wasafi inafanya vizuri wanapochanganya kiki za domo pekee siku akijiweka kando na hizi mambo ya familia yake hutakuja na hizo statistics zako mkuu. Huyu mzee wamemfukua wenyewe
139229001_436924490827482_6364579265277094891_n.jpg
ona hapo kabla shamte hajakoleza vitu,mzee alikua anapostiwa picha nyingi za zamani kama hii walipost wao na sio mzee abdul ambae hakua hata na smartphone

Hakuna aliyesema akae mbali na familia yake bali awe na misimamo itakayomjenga sio mpaka wote tujue alipatikana baada ya ndom kupasuka inasikitisha sana.
Ya harusi siwezi mlaumu sababu Esma kayavaba mwenyewe kwa kupenda wanaume wenye pesa kumbe kamvaa mtoto wa mjini.

Wasafi kwangu mimi naona haitumiki vibaya,ndio maana inafanya vizuri ukitaja radio 3 zinazo sikilizwa sana lazima Wasafi kibiashara kafanikiwa SANA,kwa mikoa iliyopo na hata ukiangalia future yao inaiona ipo vizuri.

Domo hawezi kuwa mbali na familia yake,sababu ndio aliotafuta nao kuni,so sasa hivi wanaota moto pamoja na uduni wao na uswahili wao,wao ndio waliomfanya awe vile leo alivyo japokuwa kakulia maisha ya uswahili,huwezi kuwatenga walio kulea,kukuza na kufariji nyakati za shida.

Ile familia imekosa kitu kimoja privacy,hata yule mzee nae walewale kila siku yupo kwenye mikamera mwaka wa 8 sasa,watu wanapiga hela kupitia yy.
 
Maswali hayo yanajibiwa hapa mkuu.walianza wao kumpost na kuonyesha domo ana baba(kiki tosha)wangempotezea tangu zamani yasingeibuka haya. Kwann mzee abdul na sio salumu idd nyange?
139229001_436924490827482_6364579265277094891_n.jpg
Jina la mtu ambae alikuwa hafahamiki linatumikaje kama kiki?! Watu walimfahamu Diamond kwa sababu alikuwa anatumia u-bin wa Abdul au kwa sababu ya kazi zake?! Mzee Abdul alianza kufahamika kwa sababu ya kuitwa Abdul au kwa sababu ya kuonekana kwamba ni baba wa Diamond?!

Maswali kama hayo yakijibiwa hata na mtoto mdogo hapo hapo atafahamu ni nani alikuwa anatafuta kiki kwa mwenzake!
 
Wasafi inafanya vizuri wanapochanganya kiki za domo pekee siku akijiweka kando na hizi mambo ya familia yake hutakuja na hizo statistics zako mkuu. Huyu mzee wamemfukua wenyewe View attachment 1678349 ona hapo kabla shamte hajakoleza vitu,mzee alikua anapostiwa picha nyingi za zamani kama hii walipost wao na sio mzee abdul ambae hakua hata na smartphone

Hakuna aliyesema akae mbali na familia yake bali awe na misimamo itakayomjenga sio mpaka wote tujue alipatikana baada ya ndom kupasuka inasikitisha sana.
Hata bila kiki Diamond ana uwezo wa kukisimamisha kitu chochote,tukianzia WCB label,WASAFI MEDIA,so siku lazimishi ukubali.Kama kiki tu ndio zinakufanya uwe bora,basi Hamorapa angekuwa juu zaidi ya Diamond.

Kinachoifanya Wasafi media iwe juu kwanza watu aliwaajiri brand zao kubwa,pili Mondi ni Master wa kupiga promo.
 
Diamond alipata shida Sana utotoni. Hakuweza kuwa na Baba yake mzazi na Baba WA kambo alimkataa. Ndio maana haoni sababu ya kumsamehe Mzee Abdul Kwani alimkataa sababu si mwanae.Pia Mzee Abdul haya yote kayatafuta familia hii hakukuwa tayari kuyasema Tabia Zake ndio zimeyasanua.
 
Maswali hayo yanajibiwa hapa mkuu.walianza wao kumpost na kuonyesha domo ana baba(kiki tosha)wangempotezea tangu zamani yasingeibuka haya. Kwann mzee abdul na sio salumu idd nyange?View attachment 1678360
Picha haijibu hoja!! Issue ni kwamba umashuhuri wa Diamond haukutokana na kutumia jina la Abdul bali na kwahiyo kutumia hilo jina haiwez kuwa kiki kwa sababu alianza kutumia wakati hata huyo Bi Sandra hafahamu kwamba Naseeb angekuja kuwa Diamond. Kinyume chake, Mzee Abdul amefahamika sio kwa sababu anaitwa Abdul bali kwa sababu alifahamika kama Baba wa Diamond!! Sasa ni nani hapo alikuwa anatumia mgongo wa mwenzake?! Hoja yako ingekuwa ni sahihi endapo issue ingefanana na ile ya Q-Chief kwa sababu Mzee Katwila alikuwa na jina hata kabla Q-Chief hafahamiki!
 
Kiki ndo zimemtoa domo na hawezi kuziacha.
Hata bila kiki Diamond ana uwezo wa kukisimamisha kitu chochote,tukianzia WCB label,WASAFI MEDIA,so siku lazimishi ukubali.Kama kiki tu ndio zinakufanya uwe bora,basi Hamorapa angekuwa juu zaidi ya Diamond.

Kinachoifanya Wasafi media iwe juu kwanza watu aliwaajiri brand zao kubwa,pili Mondi ni Master wa kupiga promo.
 
Domo kamtumia sana mzee naona sasa wameamua kumtosa
Picha haijibu hoja!! Issue ni kwamba umashuhuri wa Diamond haukutokana na kutumia jina la Abdul bali na kwahiyo kutumia hilo jina haiwez kuwa kiki kwa sababu alianza kutumia wakati hata huyo Bi Sandra hafahamu kwamba Naseeb angekuja kuwa Diamond. Kinyume chake, Mzee Abdul amefahamika sio kwa sababu anaitwa Abdul bali kwa sababu alifahamika kama Baba wa Diamond!! Sasa ni nani hapo alikuwa anatumia mgongo wa mwenzake?! Hoja yako ingekuwa ni sahihi endapo issue ingefanana na ile ya Q-Chief kwa sababu Mzee Katwila alikuwa na jina hata kabla Q-Chief hafahamiki!
 
Hii familia kwenye ngono ni shida sana na wote familia nzima ina sifa moja wanafanana .

Diamond alikuwa na wema ,zari Penny ,Tanasha ,hamisa ,na kazaa na watatu bado hujui ambao ni Siri yake.

Mama Dangote yeye kapachikwa mimba enzi zake kaja kumbambikia mzee Abdul ,wameachana sasa anakazwa na bwana mdogo Uncle Shamte.

Esma yeye kaachana na petiti kwa maneno kaenda kwa huyo mwingine mwenye wake 3 wamemwagana tena na kuchafuliana mara sijui kutoa mimba.

Queen Darling yeye anahangaika huko na uke wenza .

Hii familia inapiga pumbu mbalala
 
Harmo rapa hajawahi ng'ang'ania kutembea na wolper huku wolper akimkana. Harmo rapa hajawahi toka na wema
Kwa hiyo ukitembea na Wolper na Wema nyota ing'aa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwa hiyo Wema na Wolper ni waganga wakusafisha nyota?

Kwa kipindi Wema anazindua filam,Hamorapa alivyoenda na ile mipendeji ilikuwa sio Kiki.
 
Back
Top Bottom