Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
mimi bwana kila ninaporudi hme lazima nicimame kwenye kioski ninunue limbwata,nampelekea vuvuzela analikoroga NALINYWA MWENYEWE KWA RAHA ZANGU!tena huwa na mwambia aongeze doziKwenye maneno ni kazi ya shetani ila kwa vitendo...we mzuka haujapanda na hujachoshwa na vuvuzela...kosa lako umenusa ukawa chizi hujui usemalo