Mama asinzia kulala na kukoroma kanisani kwenye ibada ya asub uhi krismasi

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Asubuhi mapema siku ya krismas baba na mama wakaingia kanisani kwa ibada ya Krismas. Hawa wawili wakakaa kwenye kiti kirefu mama akiwa kushoto kwa mumewe.Mahubiri yalipoanza, baba kapepesa jicho lake la kushoto na akamwona mama anaaanza kusinzia.Mahubiri yakapamba moto. Kidogo baba kasikia mama anakoroma. Kuondoa aibu ya mkewe kukoroma katikati ya mahubiri baba akatumia mkono wake wa kushoto kutikisa bega la mkewe kumwamsha. Hapo ikawa balaa. Mama aligutuka kidogo kisha kwa sauti kali ya kulalamika akasema:"Wee ondoa ujinga wako hapa. Jana nilikupa leo wataka tena?Halafu kila ukifanya unaniumizaga.Ishia zako bana!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom