Mama ammua mwanae kwa kudokoa MBOGA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Jeshi la polisi linamshikilia mwanamke mmoja ambae alishirikiana na house girl kumuadhibu mtoto ambae alidokoa mboga,,,,,,
MY TAKE;UKATILI HUUU KWA WATOTO HAUVUMILIKI JAMANI

kumpa mtoto adhabu awe wako au si wako ni jambo la kawaida ila kupitiliza mpaka hatua ya huyo mama ni unyama na anastahili adhabu kubwa

hasira zimechupa mipaka

huna uhakika na HABAR au huamin kama kitu kama hiki chaweza tokea??????,
chanzo ni mimi kupitia RFA

Kuweza kutokea kinaweza ila ningependa tu kujua zaidi wewe umeitoa wapi hii habari, na kisa hicho kilitokea wapi na lini.

Wakati wa kumuadhibu mtoto inabidi uwe makini sana!
Unaweza ukamchapa bakora moja tu akadondoka akazima!!
Ni vizuri kujua afya ya mtoto kabla ya kumuadhibu.

jamani msimlaumu huyy mama ni frustaration za maisha yeyote yule hta mimi na wewe tunaweza kufanya. Hebu fikiria life lenyewe lilivyogumu watu wanastruggle afu mama katafuta mboga kidogo alishe familia yake linatokea toto moja libinafsi linakula mboga yoote uliyotafta kwa jasho kubwa unafkiri kitatokea nini hata ka ni wewe. Nafkiri watu wenye fikra tunduizu (critical thinkers) waangalie kwanzo chanzo, sababu na mazingira b4 kuanza kublame.
Mimi ningependa kujua yafuatayo kabla sijalaumu.
1. Economic status ya huyo mama anafanya kazi gani? Ana kipato gani
2. Tabia ya huyo mtoto aliyeuwawa ilikuwaje
3. Mahusiano ya huyo mama kaolewa? Kaachika? Kafiwa? Hana mume?
4. Wanaishi wapi ktk mazingira gani? Asili yao ni wapi? Huyo mama ana background gani?
5. Aliuwajeuwaje na alireact vipi baada ya tukio.
Baada ya kujua hayo ndo tulaumu jamani haya mambo yanasababishwa na mengi tusilaumu tu mzazi kuuwa mwanawe mh ni issue ngumu lakini inaweza ikawa driven na mengi

its true,kwakweli mwandish hakusema ni mwenyeji wa wapi zaid ya kusema kuwa mama alishirikiana na hous geli

Jeshi la polisi linamshikilia mwanamke mmoja ambae alishirikiana na house girl kumuadhibu mtoto ambae alidokoa mboga,,,,,,

MY TAKE;UKATILI HUUU KWA WATOTO HAUVUMILIKI JAMANI

Sidhani kama atakuwa charged kwa 1st degree murder zaidi naona itakuwa manslaughter

Duhh! Kweli mi mawazo yangu yanakwenda mbali na nakimbilia kwa hawa magamba kuwafanya Watanzania kuwa ktk wakati mgumu kama wa huyo mama. Kweli CCM ndio chanzo yote ya hilo tukio.

tusipende kupiga watoto wetu,tuwaonye inatosha na kuwapa adhabu mbadala kma kuchota maji,kufua au kusoma na kufanya assignmet hata za nyuma itasaidia zaidi kumjenga akili na ulewa kuliko kuwapiga.TUJIULIZE kwa wenzetu hwapigi watoto wao lakini wana nidhamu na busara hata IQ zao ziko juu.KUCHAPWA imepitwa na wakati.mtoto sii mbwa ndio tuseme haeleweli.

lakin wazir mkuu wa uingereza amesema kuwa vijana wa sasa ni wahun na watukutu sana,sababu mojawapo ni kuwa hawaadhibiwi,,,,,,,,,hii nayo imekaaje???

Back
Top Bottom