Mama ammua mwanae kwa kudokoa MBOGA

Duhh! Kweli mi mawazo yangu yanakwenda mbali na nakimbilia kwa hawa magamba kuwafanya Watanzania kuwa ktk wakati mgumu kama wa huyo mama. Kweli CCM ndio chanzo yote ya hilo tukio.

daaa,liva kweli umeenda MBALI

.........jamani hata kama hali mbaya ya uchumi, huyu mama ni mkatili.

Mleta mada ni mchoyo kuliko huyo mama aliuyeuwa. Sasa kwa nini hataki kutoa chanzo chake cha habari, au naye anaogopa kudokolewa?

Aaaaaa,rungu kama umefatilia huu uzi,chanzo kimetajwa,ni RFA
Mleta mada ni mchoyo kuliko huyo mama aliuyeuwa. Sasa kwa nini hataki kutoa chanzo chake cha habari, au naye anaogopa kudokolewa?

Bajabiri;2387831]Jeshi la polisi linamshikilia mwanamke mmoja ambae alishirikiana na house girl kumuadhibu mtoto ambae alidokoa mboga,,,,,,
MY TAKE;UKATILI HUUU KWA WATOTO HAUVUMILIKI JAMANI Hii ndo amani inayohuburiwa na magamba, huku ndo kuthubutu wanakokuhubiri magamba. Umasikini ndo chanzo cha kifo cha mtoto ambao umesababishwa na mfumo mbovu wa serikali ya magamba ambao unawafanya wachache(walalahai) waogelee kwenye utajiri huku ukiwaacha walio wengi (walalahoi) wakinuka umasikini

daaa,,,,,,

Back
Top Bottom